Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Sasa si waandike na wao tuwasikie😁😁😁
Hahaha muda wa kuandika wanaupata wapi Joannah, muda pekee wako nao ni wa kucheza na kidevu na pia kidevu kucheza na maungo yao
Huo mzigo una kazi yake ujue....