Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

Ila vijana wa ccm ndio wastaarabu eti pumbavu kabisa.
Wewe tukana tu uwezavyo maana Hakuna anayewashangaa kwa matusi mliyo nayo, Hivi mnalishwa Nini huko chamani kwenu? Au Kuna vitu mnalishwa huku mkiwa na njaa Tumboni? Ndio maana Watanzania wanaendelea kuwapuuza siku Hadi siku
 
Kwani katika maada hii Kuna mahali nilipozungumzia
Inaeleweka kitambo watu kama nyie wa kulamba miguu. Hamuoni watu wanazidi kuwa masikini na wateuliwa wanazidi kukwapua. Mnabaki kuendelea kusifia ili kupata teuzi
 
Inaeleweka kitambo watu kama nyie wa kulamba miguu. Hamuoni watu wanazidi kuwa masikini na wateuliwa wanazidi kukwapua. Mnabaki kuendelea kusifia ili kupata teuzi
Nini kinachowafanya mporomoshe matusi kwa mnaotofautiana nao?Nakupa taarifa kuwa mafuta yameendelea kushuka Bei mwezi huu hivyo tarajia vitu navyo kushuka Bei
 
Tusi ni tusi, Kiswahili cha ka siku. Zingatia alichosema Dr Tulia: baada ya muda utaweza kutafautisha kati ya tusi na Katiba. Hakuna haja ya kwenda mahakamani, waste of Judges' time.
 
Wewe kiroboto achana na Chadema,malizeni kwanza tatizo la green guard wenu wanaopora na kuumiza wananchi,kuna ushahidi usiio .na shaka kuwa panyaroad ndiyo hawa green guard wenu.
 
hebu tuone mojawapo ya matusi unayolalamikia hapa mkuu
 
Angalia na fuatilia wasomi wakubwa na wanazuoni wapo chama kipi?
'CCM inapendwa na kuungwa mkono zaidi na wajinga na wazee. CHADEMA inaungwa mkono zaidi na wasomi na vijana' - TWAWEZA.
 
Nini kinachowafanya mporomoshe matusi kwa mnaotofautiana nao?Nakupa taarifa kuwa mafuta yameendelea kushuka Bei mwezi huu hivyo tarajia vitu navyo kushuka Bei
Thubutu yake kwa hii nchi..!! Kushuka mafuta?. Kwa tunaojua mapigo ya akina miguru na makatani,hapo wanamtafutia target mama . Hiyo ni danganyatoto. Na hapo kwa akili za WaTz ni kweli tutapumbazika kama wewe ulivyopumbazika. Lakini nakupa miezi mi3 tu bei itakuwa juu zaidi ya ilivyokuwa mwanzo. Tupo hapa hapa jukwaani utakuja kuniambia mkuu
 
Wewe tukana tu uwezavyo maana Hakuna anayewashangaa kwa matusi mliyo nayo, Hivi mnalishwa Nini huko chamani kwenu? Au Kuna vitu mnalishwa huku mkiwa na njaa Tumboni? Ndio maana Watanzania wanaendelea kuwapuuza siku Hadi siku
Hatutakagi ujinga sisi mnafanya makosa makusudi halafu mnakuja na kauli za maridhiano vichwa vyenu vimejaa maji,Leo Mwigulu Nchemba kawaumiza Watanzania wengi kwa tozo halafu baadaye atakuja na kauli za tulipitiwa tunaoomba tusahau yaliyopita tushikamane tujenge nchi,mnakaaa kuchezea akili za watu.
 
Tatizo la ukosefu wa maadili halihusu vyama.Hilo ni tatizo la jamii nzima kukosa malezi bora.Kwahiyo itakua kichaa kuhusisha na vyama wakati hata uko ccm wako wenye tabia mbovu ila mnalindana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kijana wa Chadema akipata ujasiri wa kuwaleza uongo wa serikali mfano ule wa 360T za Accasia mnasema hana adabu mpaka Kabuni anaposhukiwa na roho na kukiri walitunga uongo bado hamjitambui. Mmedanganywa kuwa serikali imeokota vichwa vya Treni bandarini, mksdanganywa mshahara unapanda 23.5% hadi mkaandamana na kupongeza na uongo mwingi mwingine lakini vijana wakiwafumbueni macho mnawaita wahuni na hawana adabu?
Nyie kweli mmerogwa
 
Tatizo la ukosefu wa maadili halihusu vyama.Hilo ni tatizo la jamii nzima kukosa malezi bora.Kwahiyo itakua kichaa kuhusisha na vyama wakati hata uko ccm wako wenye tabia mbovu ila mnalindana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo vijana wa chadema pekee wamekosa maadili kwa kulelewa vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…