Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

Ila vijana wa ccm ndio wastaarabu eti pumbavu kabisa.
Wewe tukana tu uwezavyo maana Hakuna anayewashangaa kwa matusi mliyo nayo, Hivi mnalishwa Nini huko chamani kwenu? Au Kuna vitu mnalishwa huku mkiwa na njaa Tumboni? Ndio maana Watanzania wanaendelea kuwapuuza siku Hadi siku
 
Inaeleweka kitambo watu kama nyie wa kulamba miguu. Hamuoni watu wanazidi kuwa masikini na wateuliwa wanazidi kukwapua. Mnabaki kuendelea kusifia ili kupata teuzi
Nini kinachowafanya mporomoshe matusi kwa mnaotofautiana nao?Nakupa taarifa kuwa mafuta yameendelea kushuka Bei mwezi huu hivyo tarajia vitu navyo kushuka Bei
 
Ni vijana wangapi kati ya hao uliowaita wana matusi mmewahi kuwapeleka mahakamani kwa hayo makosa yao mkashinda kesi?

Mimi huwa naona mara nyingi wao hushinda tu, kumbe basi, kinachoitwa tusi na shabiki au mwanachama wa CCM, hakitambuliki hivyo kwenye hii jamii tuliyopo kwa ujumla wake.

Ndio maana CCM mna tabia nyingi za ajabu ambazo wengine tunazishangaa, ila nyie mnaziona za kawaida tu, uvunjifu wa sheria kama kuzuia mikutano ya hadhara ya kisiasa, na kuwapiga wapinzani ni mifano iliyopo.
Tusi ni tusi, Kiswahili cha ka siku. Zingatia alichosema Dr Tulia: baada ya muda utaweza kutafautisha kati ya tusi na Katiba. Hakuna haja ya kwenda mahakamani, waste of Judges' time.
 
Nasema hivi, endelea kuomba waendelee kuwa makondoo hivi hivi, maana ujinga umeshawatoka ila uoga ndio unawazuia kuchukua hatua. Dalili kuwa wameshachoka hiki chama cha majizi ya kura ni idadi ya wapiga kura kushuka siku hadi siku. Tunasubiri kuingia mtaani tu ndio mtajua mlishachokwa muda mrefu.
IMG-20180405-WA0006.jpg
 
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho

Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,

Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,

Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao

Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa

Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja

Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Wewe kiroboto achana na Chadema,malizeni kwanza tatizo la green guard wenu wanaopora na kuumiza wananchi,kuna ushahidi usiio .na shaka kuwa panyaroad ndiyo hawa green guard wenu.
 
hebu tuone mojawapo ya matusi unayolalamikia hapa mkuu
 
Nini kinachowafanya mporomoshe matusi kwa mnaotofautiana nao?Nakupa taarifa kuwa mafuta yameendelea kushuka Bei mwezi huu hivyo tarajia vitu navyo kushuka Bei
Thubutu yake kwa hii nchi..!! Kushuka mafuta?. Kwa tunaojua mapigo ya akina miguru na makatani,hapo wanamtafutia target mama . Hiyo ni danganyatoto. Na hapo kwa akili za WaTz ni kweli tutapumbazika kama wewe ulivyopumbazika. Lakini nakupa miezi mi3 tu bei itakuwa juu zaidi ya ilivyokuwa mwanzo. Tupo hapa hapa jukwaani utakuja kuniambia mkuu
 
Wewe tukana tu uwezavyo maana Hakuna anayewashangaa kwa matusi mliyo nayo, Hivi mnalishwa Nini huko chamani kwenu? Au Kuna vitu mnalishwa huku mkiwa na njaa Tumboni? Ndio maana Watanzania wanaendelea kuwapuuza siku Hadi siku
Hatutakagi ujinga sisi mnafanya makosa makusudi halafu mnakuja na kauli za maridhiano vichwa vyenu vimejaa maji,Leo Mwigulu Nchemba kawaumiza Watanzania wengi kwa tozo halafu baadaye atakuja na kauli za tulipitiwa tunaoomba tusahau yaliyopita tushikamane tujenge nchi,mnakaaa kuchezea akili za watu.
 
Kwa hiyo kukosa maadili na adabu kwa vijana wa chadema kumesababishwa na CCM? Kwa hiyo hapo wewe ulipo huna maadili? Mbona sisi vijana wa CCm tunajibu hoja kwa hoja na tuna adabu na heshima kwa wote? Basi njooni CCM ili mlelewe na kukua katika maadili mema na yakupendeza na kukubalika mbele ya jamii,
Tatizo la ukosefu wa maadili halihusu vyama.Hilo ni tatizo la jamii nzima kukosa malezi bora.Kwahiyo itakua kichaa kuhusisha na vyama wakati hata uko ccm wako wenye tabia mbovu ila mnalindana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho

Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,

Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,

Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao

Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa

Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja

Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Kijana wa Chadema akipata ujasiri wa kuwaleza uongo wa serikali mfano ule wa 360T za Accasia mnasema hana adabu mpaka Kabuni anaposhukiwa na roho na kukiri walitunga uongo bado hamjitambui. Mmedanganywa kuwa serikali imeokota vichwa vya Treni bandarini, mksdanganywa mshahara unapanda 23.5% hadi mkaandamana na kupongeza na uongo mwingi mwingine lakini vijana wakiwafumbueni macho mnawaita wahuni na hawana adabu?
Nyie kweli mmerogwa
 
Tatizo la ukosefu wa maadili halihusu vyama.Hilo ni tatizo la jamii nzima kukosa malezi bora.Kwahiyo itakua kichaa kuhusisha na vyama wakati hata uko ccm wako wenye tabia mbovu ila mnalindana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo vijana wa chadema pekee wamekosa maadili kwa kulelewa vibaya?
 
Back
Top Bottom