Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

Ndio maana alisema iwe ndani au nje ya chama akimaanisha Ni lazima tuijenge utamaduni wa kuheshimiana na kukosoana kwa heshima na adabu, kunyooka nao maana yake kutoa taarifa mahali husika ili hatua za kisheria zichukuliwe kwa utaratibu wa kisheria

Endeleeni kuomba watanzania wazidi kuwa makondoo, ila siku wakiamka hawa viongozi wanaopora chaguzi za nchi, na kulewa madaraka lazima watatoa hesabu.
 
Viongozi wanaongia madarakani kwa njia za kishenzi ni haki yako kutukanwa. Tena inatakiwa ifikie hatua ya machafuko ili kurudisha heshima ya box la kura.
Hakuna wakuleta machafuko nchi hii chini ya serikali imara na shupavu ya CCM, Lisu aliwaambia watu waandamane lakini wakampuuza ikiwemo wewe mwenyewe maana sikukuona ukiandamana popote pale katika nchi hii maana na wewe uliamini na unaamini kuwa CCM ndio chaguo na Tumaini la watanzania
 
Endeleeni kuomba watanzania wazidi kuwa makondoo, ila siku wakiamka hawa viongozi wanaopora chaguzi za nchi, na kulewa madaraka lazima watatoa hesabu.
Watanzania wameridhika na wanaridhishwa na utumishi na utendaji kazi wa serikali ya CCM katika kuwatumikia na kuwahudumia , lakini zaidi ya hapo wanatambua kuwa CCM imekuwa Ni mdomo na masikio ya kila mtanzania mwenye shida na kero yoyote Ile, ndio sababu ya Kuendelea kuaminiwa na watanzania wote
 
Hakuna wakuleta machafuko nchi hii chini ya serikali imara na shupavu ya CCM, Lisu aliwaambia watu waandamane lakini wakampuuza ikiwemo wewe mwenyewe maana sikukuona ukiandamana popote pale katika nchi hii maana na wewe uliamini na unaamini kuwa CCM ndio chaguo na Tumaini la watanzania

Nasema hivi, endelea kuomba watanzania wazidi kuwa makondoo, siku uoga utaisha ndio mtajua hamjui.
 
Watanzania wameridhika na wanaridhishwa na utumishi na utendaji kazi wa serikali ya CCM katika kuwatumikia na kuwahudumia , lakini zaidi ya hapo wanatambua kuwa CCM imekuwa Ni mdomo na masikio ya kila mtanzania mwenye shida na kero yoyote Ile, ndio sababu ya Kuendelea kuaminiwa na watanzania wote

Watanzania wote huku idadi ya wapiga kura wanazidi kupungua kutokana na CCM kunajisi la box kura.
 
CHADEMA ni chama makini na pekee kilicho beba matumaini, mitazamo na maoni ya waTanzania wanaonewa na mifumo kandamizi ya serikali ya CCM.....ndio chombo pekee kilichobakia chenye uthubutu, ujasiri na ushujaa kuwaongezea au kuwasemea Watanzania na hata kuwakemea watesi........wapo vijana wachache wanaoshindwa kujidhibiti dhidi ya hoja na michango kinzani.......wao wakighafirika ubongo na vinywa huwa vinakosa ushirikiano.........hao ndio wanaoipaka matope CHADEMA inaonekana kuwa ni chama Cha kihuni.....Hali ya kuwa sio hivyo.......
Ushujaa wa viongozi na vijana wengi wa chadema Ni matusi matusi tu, huwezi ukakuta kijana wa chadema Anajenga hoja Hadi mwisho pasipo kuchanganya na matusi au lugha za kumdhalilisha mtu, Kama huamini maneno yangu jaribu kufuatilia kurasa za mitandao za akina mdude
 
Watanzania wote huku idadi ya wapiga kura wanazidi kupungua kutokana na CCM kunajisi box kura.
Chadema jikiteni na wekezeni katika Sera na ajenda zitakazo gusa hisia za watanzania Kama ifanyavyo CCM, mkiwa na Sera na ajenda za kueleweka na kuwagusa watanzania hapo ndipo kidogo watanzania wataanza kuwafikiria kuwapa nafasi mbili tatu za ubunge maana Urais huo hamuwezi kupewa Wala kujaribiwa kupewa kabisa,Tena huko ondoeni mawazo kabisa
 
Nasema hivi, endelea kuomba watanzania wazidi kuwa makondoo, siku uoga utaisha ndio mtajua hamjui.
Hapo ndio huwa mnakosea na kukosa hoja kwa kuzani kuwa watanzania Ni wajinga na kwamba hawaelewi kitu, Napenda kuwaambia kuwa watanzania Wana akili ,wanajitambua na wanatambua chama gani chenye kuweza kuwaongoza na kuwaletea maendeleo, CCM muda wote kimeonyesha uwezo huo wa kuwaongoza watanzania na kuwaletea maendeleo, Ndio sababu ya Kuendelea kuaminiwa na watanzania na kupewa kura za kutosha kila uchaguzi unapowadia
 
Mdude ana busara gani? Kauli ya Chinja chinja alimaanisha kuumaliza upinzani kihoja kwa kuhakikisha kuwa anavuna wanachama wengi toka upinzani na kujiunga na CCM,

Mngekuwa mnamwelewa mdude msingepata shida. Yeye anapenda haki itendeke au itumike kwa kila Raia. Lakini wahusika wanafunga masikio na macho. Ukiangalia yeye anatumia katiba sana na kanuni za kisheria zilizoandaliwa ili zitumike kwa watanzania wote.

Mdude anaona ni inatumika kinyume chake. Hata mtu Kama wewe lazima uchukie
Ndiyo maana anapatwa na hasira anaona ni wasomi lakini wanachokifanya hakiendani na ukweli au usomi wao.

Uwongo au ubabe ni vitu vibaya Sana.

Hapo kwenye chinjachinja unazidi kuomyesha akili ni akili. Sijawahi kusikia chama kikichinjwa. Hivi chama kina damu.

Jamani walimu wa fasihi au mainjinia wa lugha ya kiswahili wakuje kumpa darasa.
 
Kwani mwaka 2015 mlipokuwa mnapita kwenye majukwaa mkiwaambia na kuwahamasisha vijana wenu waandae vichinjio vyao kwa ajili ya kuichinja CCM siku ya uchaguzi mlikuwa mnamaanisha Nini? Au Tayari umesha yasahau haya? Au umeanza kufuatilia siasa leo?
 
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho

Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,

Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,

Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao

Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa

Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja

Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Du hatari !!chawa wa ccm,ungeweka basi hata Clip kidogo kuonyesha tqbia mbaya za wanachadema,au heading umekosea ulitaka kusema ccm?maana ccm ndio imeoza.
Wakati wa mwendazake,wale wapambe wake Akina Kabudi,walituaminisha tunadai tilioni 360!!
Lile lililokuwa chawa kuu liprofesa la jalalani sasa hv limekana linasema tamko la tilioni 360!!ilikuwa ni janja na mkwara wa kuwatisha wazungu,Wala sio kitu halisi!!!sasa hapo asiye na akili ni nani vijana wa Chadema au wasomi wa ccm,
Sikiliza mazwazwa Mengine kwenye clip hapa
 
Attachments

  • HhikVRJh0kpN4M-n.mp4
    3.2 MB
Ushujaa wa viongozi na vijana wengi wa chadema Ni matusi matusi tu, huwezi ukakuta kijana wa chadema Anajenga hoja Hadi mwisho pasipo kuchanganya na matusi au lugha za kumdhalilisha mtu, Kama huamini maneno yangu jaribu kufuatilia kurasa za mitandao za akina mdude
Penye wengi Pana mengi.....lakini huwezi Kuwahukumu watu wote kwa makosa ya watu wachache.........humu jukwaani tunashuhudia matusi na lugha chafu kwa pande zote mbili....... vijana wa CCM na CHADEMA na wote tunawakemea kwa kuwa hiyo sio siasa........siasa ni kuvumilia a.......
 
Hapo ndio huwa mnakosea na kukosa hoja kwa kuzani kuwa watanzania Ni wajinga na kwamba hawaelewi kitu, Napenda kuwaambia kuwa watanzania Wana akili ,wanajitambua na wanatambua chama gani chenye kuweza kuwaongoza na kuwaletea maendeleo, CCM muda wote kimeonyesha uwezo huo wa kuwaongoza watanzania na kuwaletea maendeleo, Ndio sababu ya Kuendelea kuaminiwa na watanzania na kupewa kura za kutosha kila uchaguzi unapowadia

Nasema hivi, endelea kuomba waendelee kuwa makondoo hivi hivi, maana ujinga umeshawatoka ila uoga ndio unawazuia kuchukua hatua. Dalili kuwa wameshachoka hiki chama cha majizi ya kura ni idadi ya wapiga kura kushuka siku hadi siku. Tunasubiri kuingia mtaani tu ndio mtajua mlishachokwa muda mrefu.
 
Mbona hukuandamana ulikoambiwa na Lisu uandamane huku yeye akiwa na tiketi mikononi? Au na wewe Ni muoga Kama unavyotaka tuamini hivyo? Watanzania wana Imani na CCM na serikali yake kuwatumikia
 
Nakukumbusha tu kua uchawa una mwisho.na mwisho wake hauko mbali sana.Wako wenzako waliokua kama wewe sasa hivi wanaona hadi aibu kwajinsi mambo yalivyowabadilikia.Naona unaangaika sana na vitu vidogo vidogo vya wafuasi wa chadema alafu unasahau kua nchi hii toka uhuru iko chini ya ccm.Huwezi kutenganisha ukosefu wa maadili kwa wananchi na ccm.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unadhani kuandamana ni zoezi la siku moja? Subiri utaona nini kitaendelea. Na uhakikishe miradi yako ya wizi imekamilika, maana ikifika wakati huo na bado miradi yako haijakamilika, ndio utajua nini maana ya kuheshimu uchaguzi.
 
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika chama husika ambao ndio hasa watakao kuwa viongozi wa kesho

Lakini ukiangalia na kutupia jicho kwa vijana waliopoo ndani ya chama hiki na ambao ndio viongozi kwa Sasa kiukweli unasikitika Sana na kuwaza sijuwi wanakula vitu gani huko chamani kwao,

Ni vijana waliokosa adabu hekima busara unyenyekevu na staha, Ni vijana waliojaa matusi utazani wameopolewa kwenye pipa la Pombe ya kienyeji, Ni vijana ambao kwao yoyote na wa umri wowote na wa cheo chochote anaweza kutukanwa matusi yote yanayoandikika na yasiyo andikika, Ni vijana waliojaa mihemuko na kuripuka Kama Moto wa gesi,

Kibaya zaidi vijana Hawa wa chadema Ni Kama hawana mlezi, hawana mtu aliyesimama Kama mzazi wao kimalezi, Hawana mtu wa kuwaongoza na kuwafunda, hawana mtu wakuwapa maelekezo, hawana mtu wa kuwachunga ili wakue kiuongozi, hawana mtu wakuwafunga breki ya midomo yao, Hawana mtu anayeweza Akazungumza wakamsikiliza na kumheshimu, hawana wazee huko, Ni vijana waliozibuka na kuzuzuka, Ni vijana wanao jazana ujinga muda wote, Ni vijana waliokosa muunganiko wa ubongo na midomo yao, hawana muunganiko wa akili na vidole vyao

Ni vijana wanao hisi kuwa huo ndio ushujaa, ukamanda wenyewe, ujana wenyewe. Chadema itafika muda kitakosa viongozi na kwa kuwa Hawa ndio kwa umoja wao wa kujazana ujinga na kukosa adabu na heshima watajikuta mmoja wao anakuwa kiongozi mkuu wa chama, hapa ndipo chama hiki kitakapozidi kupiga mueleka Zaid ya hapa kilipo, ndipo kitazidi kusereleka kuelekea shimoni, ndipo kitakapozidi kusambaratika, ndipo kitakapozidi kupuuzwa Zaid ya hapa

Maana hakuna atakaye kuwa tayari kuwasikiliza watu Kama Hawa waliojaa matusi, watu ambao wapo tayari kumtukana yoyote yule kwa matusi ya nguoni bila kosa lolote kisa tu katofautiana nao, hakuna ambaye yupo tayari na atakuwa tayari kwenda kwenye mkutano wao kusikiliza mimatusi tu, hayupo mtu wa namna hii hata siku moja

Sina cha kuwashauri vijana Hawa waliokosa adabu na hekima maana hiyo siyo kazi yangu, Nachoweza kuwaasa ni kimoja tu kuwa watukanane huko huko lakini ikija kwenye mamlaka ya nchi lazima waiheshimu Sana maana wasije wakafikiri kuwa Rais wa nchi Ni sawa na Rais wa Bao, lazima wajuwe kuwa Rais Ni mkuu wa nchi na kiongozi wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama aliye apa kuilinda nchi hii kwa nguvu zake zote ili iwe na amani na utulivu, hivyo hakuna anayeweza kuwavumilia watu wanao hatarisha usalama wa Taifa, lazima watawajibika na kuwajibishwa kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
CCM inaungwa mkono na kupendwa zaidi na wajinga -TWAWEZA.
 
Nakukumbusha tu kua uchawa una mwisho.na mwisho wake hauko mbali sana.Wako wenzako waliokua kama wewe sasa hivi wanaona hadi aibu kwajinsi mambo yalivyowabadilikia.Naona unaangaika sana na vitu vidogo vidogo vya wafuasi wa chadema alafu unasahau kua nchi hii toka uhuru iko chini ya ccm.Huwezi kutenganisha ukosefu wa maadili kwa wananchi na ccm.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kukosa maadili na adabu kwa vijana wa chadema kumesababishwa na CCM? Kwa hiyo hapo wewe ulipo huna maadili? Mbona sisi vijana wa CCm tunajibu hoja kwa hoja na tuna adabu na heshima kwa wote? Basi njooni CCM ili mlelewe na kukua katika maadili mema na yakupendeza na kukubalika mbele ya jamii,
 
Back
Top Bottom