Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

Arusha njaa kali..na ushamba mwingi mtu anaua mtu kisa demu...🤣🤣🤣🤣
 
Arusha ukitoa mbuga na madini kuna nn cha zaidi
Dar ukitoa bahari na flyovers unazosema ofisi za serikali na kampuni kubwa za binafsi zote zipo dar
ficha ujinga wako mkuu...arusha unajua kuna makao makuu ya ofisi ngap za kimataifa ukiacha tu hizo za kitaifa?

inaonekana ww civics ilikupitia pembeni
 
Sasa hayo madini ya huko mirerani ndo utaja muongopea nani? Yanakopatikana madini watu ni choka mbaya hatari...ushirikina wa kufa mtu..kwenye utalii vijana wa arusha mnajirahisisha kwa vibibi wa kizungu...ya hearrrdd...[emoji3][emoji3][emoji3]
mkuu naona umeishiwa point umeanza taarabu...

mm namalizia kusema kwamba ukitoa bahari na hizo fly overs hakuna kitu dar itaizidi arusha..niishie hapa kwa leo
 
Mzee mbona wengine tumezaliwa Dar, tunesoma kuanzia vidudu moaka chuo kikuu Dar..mikoani kwenu huku tumezunguka zunguka sana lakini hauna cha kutuambia kuhusu Dar..tupo mikoani nyumba tunajenga Dar..yani investments zote ni Daslam...unatuweka kwenye kundi gani? Ukizaliwa Dar ukaja kutoka na kuishi mkoani ndo unaanza kuona umuhimu wake....
 
ficha ujinga wako mkuu...arusha unajua kuna makao makuu ya ofisi ngap za kimataifa ukiacha tu hizo za kitaifa?

inaonekana ww civics ilikupitia pembeni
Arusha inaizidi dar kwa baridi tu bruh hakuna kingine na hizo timbili mnazoringia huko mbugan watu wameanza kuziamishia huku mjini 😀
 
mkuu naona umeishiwa point umeanza taarabu...

mm namalizia kusema kwamba ukitoa bahari na hizo fly overs hakuna kitu dar itaizidi arusha..niishie hapa kwa leo
Basi hakuna tabu chaliiangu...tutaja onana weekend huko nipo hapa KIA wala hakuna tabu...😀😀😀
 
Bila shaka wewe utakuwa panya road, naona unataja silaha za jadi zinazotumiwa na panya road. Panya road wanatumia mapanga, mashoka, bisibisi, visu na marungu. Wewe unatuambia Dar kusuuza rungu ni rahisi, sio maandalizi ya panya road hayo kweli? Usiongee kijanja, kuna wajanja zaidi yako. Unaleta habari za kusuuza rungu kumbe unajiandaa na vitendo vya upanya road. Unaleta janja ya nyani kula mahindi mabichi? Ulikolalia sisi tumeamkia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wana JF wengi ni wale tunaoishi kwa mashemeji. Ni nadra sana madon kuwakuta wanabishana kwenye mada iliyo wazi kama hii.

Ukikubali TU kuwa Dar ina population kubwa na pia ndo mji mkuu kibiashara, na kuwa ndo mji ulio na historia ya kuwa mji mkuu wa shughuli za kiserikali then mjadara unakua umeisha.

Factor zote nilizo zibainisha hapo juu ndo fursa zenyewe. Mazingira complex ambayo yapo Dar ndo fursa zenyewe na ndio maisha . Kutokana na wingi wa stress ndo maana shughuri za starehe pia ni nyingi.

Ukweli ambao hauwezi kupingwa ni kuwa kwenye mazingira ya Dar ukiwa bado hujapata kazi msingi, na chanzo Cha mapato kinachoeleweka, uwe na uhakika maisha yako yatakua kama gerezani, ila ukianza kupata msingi mzuri ambao nyie mnaita connection then maisha yanaanza kuleta maana.

Mods funga Uzi huu.
 
Makao makuu ya makampuni kubwa Tanzania yapo Dar. Hata kama main operations zipo mikoani.

Dar ina makao makuu ya benki zote Tanzania.

Balozi zote zipo Dar.

Dar ni njia panda ya Ulaya.

East Africa mpaka Congo & Zambia yote wanakuja kufunga mzigo Dar.

Ukijumlisha viwanja vya kula bata Dar, ni sawa na viwanja vya mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani combined.

Hao wabunge wenu wote wanaishi Dar.

Serikali imehamia Dodoma kimawazo ila mwili upo Dar.

Watu wanakimbia mashamba mikoani wanakuja kujazana dar. Dar ukichakarika buku buku huzikosi.

That city vibe is everything. The rest is history.
 
Mpe onyo huyo
Mbwa akisikia huo mlio wa bastola anachanganyikiwa🤣
 
Mwisho Asante sana shemeji kunifukuza kwako ila just believe me next year nitakuwa huko kuanza maisha yangu Mimi kama BabaMorgan. Tena usije ukashangaa nimepata apartment Posta afu wewe utabaki huko huko kwenye Panyaroad.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…