Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

[emoji23][emoji23] umefungua codes
 
Wakazi wa dar na mikoa mingine yote ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni mdogo wenu kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management miaka kadhaa iliyopita, natafuta ajira ukiweza kunisaidia connection au kuniunganisha na mtu unaefikiri anaweza kunisaidia nitashukuru sana nipo tayari kufanya shughuli yoyote halali naombeni msaada wenu.
 
Hii Dar unayoiongelea itakuwa ya kwenye Bongo movie, eti kama umepanga hauna kisima ndio basi tena.
Me nipo Dar na skumbuki maji ya kisima nilitumia lini.

Sio kila mtu anamaisha hayo unayoyafkiria wewe hapa mjini.
 
ficha ujinga wako mkuu...arusha unajua kuna makao makuu ya ofisi ngap za kimataifa ukiacha tu hizo za kitaifa?

inaonekana ww civics ilikupitia pembeni
Mkuu UN, Ofisi za Balozi, ofisi za makampuni makubwa kama Barick zipo Arusha? Kaa ukijua kampuni yoyote ya kimataifa ikitaka kufungua ofisi Tanzania lazima ifike dar kwa East Afrika. Nairobi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Duh
 
ficha ujinga wako mkuu...arusha unajua kuna makao makuu ya ofisi ngap za kimataifa ukiacha tu hizo za kitaifa?

inaonekana ww civics ilikupitia pembeni
Wakurugenzi wote wa makampuni binafsi wanaishi dar na Matajiri wanaishi Mengi alikuwa anaishi dar, Bakhresa, Mo, Rostam. Na mwaziri wakuu wastaafu na wakuu wa majeshi wanaishi dar mikoani wanaenda na kurudi Dar.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli kijana aliyezaliwa dar akipangiwa kazi mkoani atafanya mchakato lazima atarudi dar tu na ukiona kijana wa dar anapenda mkoani ujue anapiga hela sana.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu lakini ukiongelea connection kama msingi ya kutoboa hapo maanake ni popote tu sio lazima dar, kuna wenzangu nimesoma nao shule ya sasa hivi wanaishi mikoani wazazi wao wakawafanyia maujanja sasa hivi wanaishi maisha mazuri kuliko mimi ambae nipo hapa dar mwaka wa 6 sasa hiv tangu nimalize chuo sijawahi kupata ajira yoyote, natoka geto asubuhi chochote mfukoni sijui naenda wapi na kufanya nini ila natoka na imani tu
 
Ni kweli wabunge wanaenda mikoani kuomba ubunge wakishaupata tu wanaamia dar wabunge wote wa mikoani wanaishi dar na maspika wabunge wastaafu wanaishi dar mikoani wanaenda likizo tu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…