Ila hili na ngono mnatusingizia. Mbona marekani wana porno industry kubwa kuliko watu wote dunia na huko ndio full migegedoWaafrika tunaendekeza sana ngono, na haswa bongoland kwa ngono hii nchi imeshindikana. kingine kilichowaangusha waafrika ni kutokua na elimu yake yenyewe.Mataifa yote yaliotumia elimu yake mengi yameendelea na mengi hayakutawaliwa; kwa Africa ni Ethiopia tu ambao nao wana elimu yao kwa kutumia syllabi zao. Imagine, mwaafrika anajivunia kuongea kiingereza vizuri kushinda wenzake 😀 😀 😀
Sawa Mkuu, Mambo yasiwe mengi.Kwanza kabisa Ideas are one thing but implementation is the Key..., wote hawa kina Facebook, Microsoft na OS yao n.k. sio wao waliokuja na Idea bali wao ndio waliifikisha mainstream..., Na dunia ya leo wala huitaji kuwa mbunifu bali mtendaji / mfanikishaji kazi ngumu walishafanya the Giants of the Past...
Okay.Uelewa wako mdogo sana napoteza muda tu hapa
Mwafrika ni kiumbe ambacho bado kipo kwenye mchakato wa kuwa binadamu kamili.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Hao Mainjinia wakiafrika ulishawahi kuona kiwango cha barabara walizojenga? Nenda Kigoma kaangalie zile two ways zao utanielewa.Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Usafiri gani mpaka uwe uchi na ni usiku tu!?Tunamaugnduzi mengi tunayo sema nn wazungu hawataki kutu appreciate kitendo cha kupaa na ungo bila adhari zozote ni ugunduzi wazungu waksema hyo ni uchawi ili mandenge yao yasikose wateja ila ni njia bora sna ya kusafiri hii iaharamishwe
We kima kwanini unabisha kitu nilichokishuhudia kwa macho!!!Kifafa(Epilepsy) ni hitilafu kwenye neurons za ubongo. Inapona kwa kufanya neurosurgery(upasuaji wa ubongo)
Afrika ikiwemo Tanzania tuna Neurosurgeons wachache kiasi kwamba hatuwezi kufanya Neurosurgery.
Kuna pasuaji za ubongo kadhaa za kutibu kifafa zimefanikiwa pale Muhimbili na Benjamini Mkapa Dodoma, kwa hiyo tuna Improve.
Kifafa haiwezekani kurogwa au kutupiwa, wala siyo majini.
Oya naelewa kifafa ni nini ila ile ilikuwa ya kuchezewa.Kifafa(Epilepsy) ni hitilafu kwenye neurons za ubongo. Inapona kwa kufanya neurosurgery(upasuaji wa ubongo)
Afrika ikiwemo Tanzania tuna Neurosurgeons wachache kiasi kwamba hatuwezi kufanya Neurosurgery.
Kuna pasuaji za ubongo kadhaa za kutibu kifafa zimefanikiwa pale Muhimbili na Benjamini Mkapa Dodoma, kwa hiyo tuna Improve.
Kifafa haiwezekani kurogwa au kutupiwa, wala siyo majini.
Ww mwenyew huna akili lakini kwa vile ni mwafrika sishangai najua hujui hata maana ya revolutionary of technology. Usk mwemaHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kuna jambo kubwa linalozidi ujenzi wa Mapyramid? Hadi leo hakuna mtu mwenye uelewa wa jinsi walivyopandisha mablock ya tani kadhaa hadi juu…,Na usidanganyike ukafikiri hawa wamisri waarabu ndio walikuwa mafarao, Mafarao walikuwa ni waAfrika weusi wenye asili ya kama watu wa Sudan hivi..Sawa tukubali walikuwa na akili.
Lakini cha kujiuliza mbona Hatufanyi makubwa tena? Au hiyo generation ya wenye akili ilipotea.!!?
Hamna nyenzo ya usafiri wa njia ya bahari ambayo iliundwa na mwafrika; ndio maana hata ukienda hapo kisiwa cha Madagascar wazawa sio waafrika bali na watu waliotokea visiwa vya Asia hukoMeli na ndege zinaundwa kwa unga wa ngano sio? Hawatumii chuma?
Meli ya kwanza iliundwa na mtu gani? Kama si Mwafrika walivuka vipi kwenda mabara mengine ukizingatia binadamu wote wametokea Afrika? (Fact).
Sina akili kweli.Ww mwenyew huna akili lakini kwa vile ni mwafrika sishangai najua hujui hata maana ya revolutionary of technology. Usk mwema
Wapo,ngozi nyeusi asilimia kubwa wanafanya makubwa.IlaTuna magenius kweli!!!
Wako wapi?
Kuna mawili,Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Mkuu ukitaka kuona Wazungu wanatuona wajinga ufagamu wetu ni mdogo we jaribu kufanya nao kazi sehemu moja yani ata Mzungu akikosea kufanya kitu ukimuelekeza hakubali, yani wanatuona wa Afrika hatujui lolote kuhusu Mambo ya Dunia.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kama ukisoma biblia kwa utulivu, utabaini kuwa waafrika tumelaaniwa. Waafrika tumetokana na ukoo wa yule mtoto wa Nuhu aliyelaaniwa na baba yake baada ya kumkuta akiwa uchi....yeye badala ya kumfunika, akaanza kumcheka...na kuishiwa kulaaniwa milele.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Habari za ijumaa wanajamiiforums?