Hivi Waafrika hatuna akili?

Hivi Waafrika hatuna akili?

Waafrika tunaendekeza sana ngono, na haswa bongoland kwa ngono hii nchi imeshindikana. kingine kilichowaangusha waafrika ni kutokua na elimu yake yenyewe.Mataifa yote yaliotumia elimu yake mengi yameendelea na mengi hayakutawaliwa; kwa Africa ni Ethiopia tu ambao nao wana elimu yao kwa kutumia syllabi zao. Imagine, mwaafrika anajivunia kuongea kiingereza vizuri kushinda wenzake 😀 😀 😀
Ila hili na ngono mnatusingizia. Mbona marekani wana porno industry kubwa kuliko watu wote dunia na huko ndio full migegedo
 
Kwanza kabisa Ideas are one thing but implementation is the Key..., wote hawa kina Facebook, Microsoft na OS yao n.k. sio wao waliokuja na Idea bali wao ndio waliifikisha mainstream..., Na dunia ya leo wala huitaji kuwa mbunifu bali mtendaji / mfanikishaji kazi ngumu walishafanya the Giants of the Past...
Sawa Mkuu, Mambo yasiwe mengi.
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Mwafrika ni kiumbe ambacho bado kipo kwenye mchakato wa kuwa binadamu kamili.
 
Mimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Hao Mainjinia wakiafrika ulishawahi kuona kiwango cha barabara walizojenga? Nenda Kigoma kaangalie zile two ways zao utanielewa.
 
Tunamaugnduzi mengi tunayo sema nn wazungu hawataki kutu appreciate kitendo cha kupaa na ungo bila adhari zozote ni ugunduzi wazungu waksema hyo ni uchawi ili mandenge yao yasikose wateja ila ni njia bora sna ya kusafiri hii iaharamishwe
Usafiri gani mpaka uwe uchi na ni usiku tu!?
 
Kifafa(Epilepsy) ni hitilafu kwenye neurons za ubongo. Inapona kwa kufanya neurosurgery(upasuaji wa ubongo)

Afrika ikiwemo Tanzania tuna Neurosurgeons wachache kiasi kwamba hatuwezi kufanya Neurosurgery.

Kuna pasuaji za ubongo kadhaa za kutibu kifafa zimefanikiwa pale Muhimbili na Benjamini Mkapa Dodoma, kwa hiyo tuna Improve.

Kifafa haiwezekani kurogwa au kutupiwa, wala siyo majini.
We kima kwanini unabisha kitu nilichokishuhudia kwa macho!!!

No research no right to speak.

Sasa kama kifafa hakiwezi kutupiwa mtu mbona alipona kwa Mtaalamu!!!

Hiii dunia ni kubwa.
 
Kifafa(Epilepsy) ni hitilafu kwenye neurons za ubongo. Inapona kwa kufanya neurosurgery(upasuaji wa ubongo)

Afrika ikiwemo Tanzania tuna Neurosurgeons wachache kiasi kwamba hatuwezi kufanya Neurosurgery.

Kuna pasuaji za ubongo kadhaa za kutibu kifafa zimefanikiwa pale Muhimbili na Benjamini Mkapa Dodoma, kwa hiyo tuna Improve.

Kifafa haiwezekani kurogwa au kutupiwa, wala siyo majini.
Oya naelewa kifafa ni nini ila ile ilikuwa ya kuchezewa.

Kama unahitaji uthibitisho njoo nikupeleke kwa Mtaalamu aliyemsaidia.

Japo bado najiuliza technique ya kifafa kusafiri kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine inapitaje pitaje.

Cha kukushauri kingine usipende kubisha ili uonekane unaenda na usasa. Mambo ya asili yanafanya kazi
 
Generally speaking, civilization development ni result of problems and challenging environments. Africa has highly supportive and adequate environments for human survival. Hence, there's not much to solve or the necessity. Everything must have a use in order to thrive. Including your brain.

Nimeandika thread kuhusu hili 2020 or something, inaweza isiwe very technical as I wasn't as advanced as a I'm now. Ila nenda kaisome, nimejibu hichi kitu.
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Ww mwenyew huna akili lakini kwa vile ni mwafrika sishangai najua hujui hata maana ya revolutionary of technology. Usk mwema
 
Sawa tukubali walikuwa na akili.

Lakini cha kujiuliza mbona Hatufanyi makubwa tena? Au hiyo generation ya wenye akili ilipotea.!!?
Kuna jambo kubwa linalozidi ujenzi wa Mapyramid? Hadi leo hakuna mtu mwenye uelewa wa jinsi walivyopandisha mablock ya tani kadhaa hadi juu…,Na usidanganyike ukafikiri hawa wamisri waarabu ndio walikuwa mafarao, Mafarao walikuwa ni waAfrika weusi wenye asili ya kama watu wa Sudan hivi..
 
Muwe na usiku mwema nyote.

Nawapenda wote maana mnafanya tupunguze STRESS za maisha❤️❤️❤️❤️❤️❤️😁. Na pia tuiombee YANGA kesho ishinde.🙏
 
waafrika wana akili ila shida yao wanalawama sana nazani ndo watu pekee waliumbwa dunian kwa ajiri ya kutoa lawama

Sijawai ona wahindi wachina warabu wakirumu watu wengne.
 
Meli na ndege zinaundwa kwa unga wa ngano sio? Hawatumii chuma?

Meli ya kwanza iliundwa na mtu gani? Kama si Mwafrika walivuka vipi kwenda mabara mengine ukizingatia binadamu wote wametokea Afrika? (Fact).
Hamna nyenzo ya usafiri wa njia ya bahari ambayo iliundwa na mwafrika; ndio maana hata ukienda hapo kisiwa cha Madagascar wazawa sio waafrika bali na watu waliotokea visiwa vya Asia huko
 
Ww mwenyew huna akili lakini kwa vile ni mwafrika sishangai najua hujui hata maana ya revolutionary of technology. Usk mwema
Sina akili kweli.
Lakini REVOLUTIONARY OF TECHNOLOGY ni kitu cha mtu kushindwa!!

Hii ng'ombe kuwa serious 😨
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kuna mawili,
1.kuna kosa la kiufundi (technical problem) katika uumbaji wa Mwafrika.
2. Mungu alifanya dhambi kumuumba mwafrika
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Mkuu ukitaka kuona Wazungu wanatuona wajinga ufagamu wetu ni mdogo we jaribu kufanya nao kazi sehemu moja yani ata Mzungu akikosea kufanya kitu ukimuelekeza hakubali, yani wanatuona wa Afrika hatujui lolote kuhusu Mambo ya Dunia.
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kama ukisoma biblia kwa utulivu, utabaini kuwa waafrika tumelaaniwa. Waafrika tumetokana na ukoo wa yule mtoto wa Nuhu aliyelaaniwa na baba yake baada ya kumkuta akiwa uchi....yeye badala ya kumfunika, akaanza kumcheka...na kuishiwa kulaaniwa milele.
 
Habari za ijumaa wanajamiiforums?

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?

Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.

Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.

Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.

Huo ndio ukweli. Uwezo wetu wa kiakili ni mdogo ukilinganisha na Wazungu, Wayahudi, Wahindi na Waarabu.
 
Back
Top Bottom