Badala ya kuonyesha wapi kuna chumvi unatumia muda wako kutoa general comment.., Hio ni moja mbili nani kasema kwamba where we are is where we are supposed to be ?
Tofauti yako mimi na wewe wakati mimi natoa causes na some historical facts wewe unaleta statements ambazo either hazina historical facts au kwa kuchukua vifungu vya hapa na pale...
Dunia haijawai kusimama ni muendelezo na hizi generation between colonialism mpaka sasa hivi ni mengi yametokea na kuna changes kubwa waliokuwa juu then sio waliopo juu sasa.., (rise and fall of empires) na kila culture they had their own ways of life na hata kabla Mkoloni hajaset food huku kulikuwa na Trans African Trade, ufuaji vyuma, pottery n.k.
Pia hata tukiongelea Civilization Egypt were among the first... pamoja na modern-day Iraq, India, China, Peru and Mexico (which shows you all over the world watu waliweza kupambana na mazingira yao) na setbacks nyingi zinatokana na some circumstances which usually have a knock on effect