Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

Acha chuki kwa wachaga. Kuna popote nilipoandika kuhusu wachaga?
 
[emoji1][emoji1][emoji1] unawajua vizuri
 
[emoji1][emoji1][emoji1] unawajua vizuri
😁😁😁 Bado sijawataja jamaa zangu wengine akina Dugange, Mhongole, Swallo, Mlonganile, Nganung'a!!

Haya ni majina maarufu sana Nyanda za Juu Kusini, ila huwezi kuyakuta kwenye mpira wa miguu! Badala yake utayakuta kwenye biashara ya mbao, vituo vya mafuta, makazini, na kwenye shughuli nyingine mbalimbali.
 
Huenda unawachukia kwa kuwa hawana chochote
 
Daaa nimecheka sana Chagga Jazz Bendi
 
Hahahahaha wachaga ni mchele mchele sana, Soka na wachaga wapi na wapi...
 
Hivi Jo wachaga walikufanya nini, unachuki nao kama ya nyoka na binadamu kwa nini?
 
Wewe siyo mtu wa mpira ndiyo maana huwajui lakini wapo wengi tu, na lingine unawachukia sana wachaga popote pale wewe unawaongelea negatively tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…