mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Mpare wa hedaru nadhaniSekilojo Chambua ni mchagga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpare wa hedaru nadhaniSekilojo Chambua ni mchagga?
Acha chuki kwa wachaga. Kuna popote nilipoandika kuhusu wachaga?Kwamba wachagga wote wana maisha mazuri kuliko Samatta?
Hizi pigo za kujikweza sijui huwa mnazitoa wapi, niliwahi kusimamia project ya ujenzi huko Mwanza, na nikikuwa na wachagga wanne(nadhani walikuwa marafiki) ambao wote walikuwa ni wabeba tofali tu, hao nao wana haki ya kuudharau mpira au kulinganishwa na Samatta??
Huku mtaani nina marafiki na watu wengine ambao ninawajua (wachagga) hawana lolote na tunaishi nao, ila mkifika huku mitandaoni ni kama vile hakuna wachagga makapuku.
Acheni kujikweza, mnawaponza wenzenu.
Niwachukie wachagga kwa kipi walichonacho?Acha chuki kwa wachaga. Kuna popote nilipoandika kuhusu wachaga?
Willy Martine (Gari Kubwa).Deogratius Munishi
Jacob Masawe wa Namungo
Christopher Alex Masawe (RIP) alikuwa Simba ile iliyoitoa Zamalex ugenini,bonge la middle na rasta zake
[emoji1][emoji1][emoji1] unawajua vizuriJamaa anataka kuona wachezaji wa Kichaga, na wakati hata huko Iringa aliko kwenyewe hakuna mchezaji mmoja mnyalu anayetambulika kwenye ligi kuu!
Imagine kama uliwahi kusikia jina kama Ng'umbi, Makombe, Mlembe, Ndanzi, Mbedule, Kisinini, Kihava, Muyinga, Mkwawa, Mgoda, Lukuvi, Mtavangu, Msambatavangu, Mdagasule, Mfugale, Msilu, Malangalila, Chelesi, Chalamila, Mhume, na wengineo wengi! Kwenye ligi kuu yetu!!!
Walau kwa sasa kuna Clara Luvanga! Tena ni mchezaji tu chipukizi wa timu ya wanawake!
😁😁😁 Bado sijawataja jamaa zangu wengine akina Dugange, Mhongole, Swallo, Mlonganile, Nganung'a!![emoji1][emoji1][emoji1] unawajua vizuri
Huenda unawachukia kwa kuwa hawana chochoteNiwachukie wachagga kwa kipi walichonacho?
Huenda unawachukia kwa kuwa hawana chochote
Daaa nimecheka sana Chagga Jazz BendiTena alicheza akiwa meneja wa Landrover Tanzania Ltd akiwa na digrii ya uinjinia
Sema wachaga wengi hupenda kushika pesa kila siku aone hela inaingia mkononi
.Hizo pesa za kusubiri hadi msimu wa ligi uanze hawataki.Wanaona bora wachome nyama chuma!!
Kuna utani pia wanasema huwezi kuta bendi ya wachaga sababu waliwahi kuunda bendi ya wachaga watupu kuanzia wapiga vyombo na waimbaji nk na wakaagiza vyombo vya gharama Ulaya na wakafanya mazoezi ya nguvu
Ugomvi ukaja wakati wanajadili nani akae mlangoni kwenye ukumbi watakapokuwa wanaimba atakayekuwa anapokea pesa za viingilio.Kila mwana bendi akawa anataka akae yeye mlangoni apokee pesa za viingilio.
Hakuna aliyetaka kupanda jukwaani kutumbuiza .Kila mmoja haamini mwenzie kukaa mlangoni kupokea pesa za viingilio.
Bendi ikavunjika wakauza vyombo vya bendi wakagawana pesa kila mtu ajijue !! Ndio ukawa mwisho wa Chaga Jazz Band na haijawahi anzishwa tena!!!
Hivi Jo wachaga walikufanya nini, unachuki nao kama ya nyoka na binadamu kwa nini?Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.
Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe
Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu
Why?
Tenga mpareWatakuwepo mkuu, mfano yupo mkongwe Leodegar Tenga.
Tenga mkuryaWatakuwepo mkuu, mfano yupo mkongwe Leodegar Tenga.
Tenga mpare
Wewe siyo mtu wa mpira ndiyo maana huwajui lakini wapo wengi tu, na lingine unawachukia sana wachaga popote pale wewe unawaongelea negatively tu.Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.
Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe
Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu
Why?
HIlo jina tu lakichaga ila ni mbondei mjomba angu kabisa huyu mkwe wake na keneth mkapaEnzi hizo tulikuwa na Lyimo wa TPC.