Daah
Nakutana na vituko gani sijui
Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu
Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela
Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi
Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa Sana kiasi cha kuboa
Kwasababu huyu mtu amezidi sasa yaani hata kutembea nae njiani waona aibu maana misifa mingi
Kinacho nikera ni namna anavyozungumza na wahudumu yaani kuna muda unamuona mpk muhudumu kama amechukia ila hana namna
Mimi sijui kama nitawezana na huyu kiumbe 😩😩😩😩