Hivi Wahaya ndio wana sifa kiasi hiki au huyu ni tapeli tu?

😂😂😂basi mwenzio kila siku nakasirika yaani ujisemeshe mwenyewe kwamba una hiki halafu tena uninyime
Nimemwambia sitaki aniambie mambo yake kama hawezi kunipa abaki nayo
Maneno mengi vitendo sifuri
Huyo hana ila kuna mwingine anazo na anatoa, shida ni moja muhaya wa hivyo anataka uwe chawa wake akijisifia msifie zaidi atakupa vyote,

Ukiona humuelewi mpige chini
 
Yaani hapo lazima apigwe chini mimi na watu wenye misifa halafu kutoa hela mpk mgombane siwezi

Au kwa vile sijawa mpnz wake ndio maana
 
Nyie wadada wapenda hela, muwege mnaangalia wanaume wa kudate na kuchagua makabila ya vimwaga sio makabila ya mabahili!.

Kabila vimwaga No. 1 ni Wasukuma, kwanza ndio wanaongoza kwa kupenda, na wanaongoza kwa kuhonga!.

Ukimpata Msukuma anazo, utafurahi mwenyewe!, tatizo lao ni moja tuu!, huwezi kuwa pekee yako!

P
Uko sahihi sana mkuu!
Tena ukikubali kuwa na wenzio unahudumiwa mpaka sio poa! Aisee wasukuma wanatoa! Ila ndio ukubali uke wenza utajengewa na mambo kama yote😁
 
Nyie wadada wapenda hela, muwege mnaangalia wanaume wa kudate na kuchagua makabila ya vimwaga sio makabila ya mabahili!.

Kabila vimwaga No. 1 ni Wasukuma, kwanza ndio wanaongoza kwa kupenda, na wanaongoza kwa kuhonga!.

Ukimpata Msukuma anazo, utafurahi mwenyewe!, tatizo lao ni moja tuu!, huwezi kuwa pekee yako!

P
Mzee umejipigia assist kimkakati sana
 
Back
Top Bottom