Hivi Wahaya ndio wana sifa kiasi hiki au huyu ni tapeli tu?

Hivi Wahaya ndio wana sifa kiasi hiki au huyu ni tapeli tu?

Hu
Daah
Nakutana na vituko gani sijui
Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu

Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela

Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi

Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa Sana kiasi cha kuboa
Kwasababu huyu mtu amezidi sasa yaani hata kutembea nae njiani waona aibu maana misifa mingi

Kinacho nikera ni namna anavyozungumza na wahudumu yaani kuna muda unamuona mpk muhudumu kama amechukia ila hana namna

Mimi sijui kama nitawezana na huyu kiumbe 😩😩😩😩

wahaya wanajisifia kweli na wana asili ya uchoyo, ukitaka kula vyake ujifunze uchawa na kumpa masifa kila ukiwa naye.
 
Kidogo nikutag mrs vw, kwani mliishia wapi? 🤣 bagambire stupid😂😂
giphy 4.GIF

Nimemtupa ignore list huko, sitaki upuuzi 😂 😂 😆 !
 
Kulalamika kote na kulilia haupewi pesa kumbe hamna hata mahusiano? Sasa alivyokuuliza akupe jiko kama nani that question is justifiable.
Shida ni kuwa kwanini aniambie nina kitu fulani ila sikitumii sijui anipe alikuwa ananiambia kama nani na ili iweje
Yaani ni upuuzi ni kama mtu mwinginee asingekuwa anaongelea mambo ya vitu anavyomiliki
 
🤣muache
 
Back
Top Bottom