- Thread starter
- #81
Yaani mtu hujamuuliza anajiongelesha halafu anakuuliza kama akupe kwanini nikatae then aanze tena kuniuliza nakupa kama nani.. utafikiri alivyokuwa ananiambia alikuwa ananiambia kama naniš¤£muache
Huyu mtu ana ugonjwa wa Akili wallah š„¹