Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Kuna muhaya alialikwa kwenye sherehe.
Akawasha range rover akaenda, kufika kwenye sherehe anakuta ma range rover kama yote yamepaki.
Jamaa likamuita mlinzi likamuuliza eti sehemu gani zinapaki range zenye full tank