Na wewe ni muhayaπππππ
Wanakuwaga bahili hao, ni misifa tu mpaka kero ππ½Daah
Nakutana na vituko gani sijui
Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu
Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela
Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi
Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa Sana kiasi cha kuboa
Kwasababu huyu mtu amezidi sasa yaani hata kutembea nae njiani waona aibu maana misifa mingi
Kinacho nikera ni namna anavyozungumza na wahudumu yaani kuna muda unamuona mpk muhudumu kama amechukia ila hana namna
Mimi sijui kama nitawezana na huyu kiumbe π©π©π©π©
Una wapuuza tu mimi nina mashemeji wa kihaya japo wamefanikiwa kweli ila masifa yao huwa nawachukulia kama comedian na tunaelewana sanaDaah mnawezaje nimejaribu lakini najikuta hatuelewani kila siku yaani mtu wa kujitapa sana
Ila ananishangaza na ubahili wake
LinWanakuwaga bahili hao, ni misifa tu mpaka kero ππ½
View attachment 3558231
Ni wabahili au ni huyu jamaa tu mpk nimeanza kuwaza au hana hela anajitapa tu πππUna wapuuza tu mimi nina mashemeji wa kihaya japo wamefanikiwa kweli ila masifa yao huwa nawachukulia kama comedian na tunaelewana sana
Hapo kwenye ubahili sisemi nenoπ π π
Nani kakuambia ukijisifia mahela kunaendana na kuyatoa hovyo πBasi mimi nikajua misifa wanatoa hela hili lijamaa linaweza kuanza kukuhadithia story za hela mahela mengi na mimi akileta story za hela namuomba basi utazungushwa week kupewa hiyo hela
Sikujua kama ni bahili
Lin
Hahaha huyu hawezi nishamwambia sana ila Naona ndivyo alivyoMwambie hupendi hiyo tabia. Wenda akabadilika.
Sasa mimi kinachoniuma ni yeye kujisifia mahela halafu ukimuomba hakupi sasa kinanikasirisha sana kama hataki kunipa hela asinambue mambo ya pesaNani kakuambia ukijisifia mahela kunaendana na kuyatoa hovyo π
Hao ndivyo walivyo. Hawanaga jambo dogo.Daah
Nakutana na vituko gani sijui
Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu
Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela
Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi
Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa Sana kiasi cha kuboa
Kwasababu huyu mtu amezidi sasa yaani hata kutembea nae njiani waona aibu maana misifa mingi
Kinacho nikera ni namna anavyozungumza na wahudumu yaani kuna muda unamuona mpk muhudumu kama amechukia ila hana namna
Mimi sijui kama nitawezana na huyu kiumbe π©π©π©π©
Wasukuma nawapenda ila uwe na hela sivumilii msukuma asie na hela ππAchana naye, ili nipate nafasi ya kuwa na wewe, kijana wa kisukuma.
Kuna watu wana hela na wanajitapa ila kutoa hela ndio ngumu , na wengi wanaonekana maskini hawajitapi ila wana hela nao kutoa ni ngumu .Ni wabahili au ni huyu jamaa tu mpk nimeanza kuwaza au hana hela anajitapa tu πππ
Tumeyaongea haya mda flaniπAvumilie si kataka kupigwa kater.....
Kwani wakati ana jisifia ana hela alisema ana hela zake na zako au zake peke yake?Sasa mimi kinachoniuma ni yeye kujisifia mahela halafu ukimuomba hakupi sasa kinanikasirisha sana kama hataki kunipa hela asinambue mambo ya pesa