Hivi Wahaya ndio wana sifa kiasi hiki au huyu ni tapeli tu?

Mimi sio muhaya, Ebu njoo PM...๐Ÿ˜‹
 
Daah
Nakutana na vituko gani sijui
Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu
Nyie wadada wapenda hela, muwege mnaangalia wanaume wa kudate na kuchagua makabila ya vimwaga sio makabila ya mabahili!.

Kabila vimwaga No. 1 ni Wasukuma, kwanza ndio wanaongoza kwa kupenda, na wanaongoza kwa kuhonga!.

Ukimpata Msukuma anazo, utafurahi mwenyewe!, tatizo lao ni moja tuu!, huwezi kuwa pekee yako!

P
 
Mkuu me nimeshatupa ndoano hapo mwanaume wa kisukuma.

Umeanza vizuri hakika kwa kutusifia ila hapo mwisho uliposema kuwa hawezi kuwa mwenyewe, utamfanya asitishe mawazo yake juu yetu wasukuma, sisi ni watulivu sana.
 
Daah waha nao wameanza kutoa hela
 
Huyo ni mshamba tu na limbukeni!
 
Ni kweli huwezi kuwa peke yako

Lakini siku hizi nao wamejanjaruka hawatoi hela wala hawapendi
Kwanza washanipiga matukio hao watu japo ni kabila ambalo natamani sana nipate wA milele huko
 
Huyo muha wa kuwekwa makumbusho kabisa, waha wabahili wazuri sana
 
Huyo ni mwenyewe kabisa og, of course umepata bonge la bwana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… najitolea kuwa wifi yako
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚basi mwenzio kila siku nakasirika yaani ujisemeshe mwenyewe kwamba una hiki halafu tena uninyime
Nimemwambia sitaki aniambie mambo yake kama hawezi kunipa abaki nayo
Maneno mengi vitendo sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ