Huyo hana ila kuna mwingine anazo na anatoa, shida ni moja muhaya wa hivyo anataka uwe chawa wake akijisifia msifie zaidi atakupa vyote,πππbasi mwenzio kila siku nakasirika yaani ujisemeshe mwenyewe kwamba una hiki halafu tena uninyime
Nimemwambia sitaki aniambie mambo yake kama hawezi kunipa abaki nayo
Maneno mengi vitendo sifuri
Machogo wenyewe wapuuziHapana, mi ni mkizimkazi! Sheikh....twawachukia nyie machogo mna majungu.
Hahahah kheeeEehe Niko hapa jf na wakina ruzangi, mungayizi, pamoja na kamugisha tunakunywa kahawa Paris tukimaliza twende tukaoge London namwabia na rwenyimamu aje π€£omushaija
Yaani unapojisifia hela maana yake unataka nikuombeeKwani wakati ana jisifia ana hela alisema ana hela zake na zako au zake peke yake?
Sema wasukuma wakimya ila umalaya damudamuSiyo sifa yetu kupenda kujisifia mrembo.
Hahaha sema ni kweli akupende tu anatoaShanga 72 mauno kwa sana hata mimi natoa tuπ
Yaani hapo lazima apigwe chini mimi na watu wenye misifa halafu kutoa hela mpk mgombane siweziHuyo hana ila kuna mwingine anazo na anatoa, shida ni moja muhaya wa hivyo anataka uwe chawa wake akijisifia msifie zaidi atakupa vyote,
Ukiona humuelewi mpige chini
Hahahaha noma haoWahaya wanajisheua sio mademu sio masela,hata siwaelewi
Unauliza Wazungu Ulaya.Na wewe ni muhayaπ
Kidogo nikutag mrs vw, kwani mliishia wapi? π€£ bagambire stupidππWanakuwaga bahili hao, ni misifa tu mpaka kero ππ½
View attachment 3558231
Seran imenikumbusha yule jamaa wa miradi ya M600 ππ
Ila kwenye totozi nyeupe waha hamna kitu π€£Huyo muha wa kuwekwa makumbusho kabisa, waha wabahili wazuri sana
Kulalamika kote na kulilia haupewi pesa kumbe hamna hata mahusiano? Sasa alivyokuuliza akupe jiko kama nani that question is justifiable.Wasukuma nawapenda ila uwe na hela sivumilii msukuma asie na hela ππ
Anyway hatuna mahusiano tupo talking stage
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kuna muhaya alialikwa kwenye sherehe.
Akawasha range rover akaenda, kufika kwenye sherehe anakuta ma range rover kama yote yamepaki.
Jamaa likamuita mlinzi likamuuliza eti sehemu gani zinapaki range zenye full tank
Uko sahihi sana mkuu!Nyie wadada wapenda hela, muwege mnaangalia wanaume wa kudate na kuchagua makabila ya vimwaga sio makabila ya mabahili!.
Kabila vimwaga No. 1 ni Wasukuma, kwanza ndio wanaongoza kwa kupenda, na wanaongoza kwa kuhonga!.
Ukimpata Msukuma anazo, utafurahi mwenyewe!, tatizo lao ni moja tuu!, huwezi kuwa pekee yako!
P
Mzee umejipigia assist kimkakati sanaNyie wadada wapenda hela, muwege mnaangalia wanaume wa kudate na kuchagua makabila ya vimwaga sio makabila ya mabahili!.
Kabila vimwaga No. 1 ni Wasukuma, kwanza ndio wanaongoza kwa kupenda, na wanaongoza kwa kuhonga!.
Ukimpata Msukuma anazo, utafurahi mwenyewe!, tatizo lao ni moja tuu!, huwezi kuwa pekee yako!
P