Daah
Nakutana na vituko gani sijui
Huyu sasa ni Muhaya yaani kwa namna anavyojisifia ananikata stimu
Sasa kuna haja gani ya mwanaume kuanza kujisifiasifia mara nina mabiashara mara mahela
Halafu hayo maswaga wanatongozewaga wanafunzi
Anyway kwani wahaya ni kweli mko hivo yaani mnasifa Sana kiasi cha kuboa
Kwasababu huyu mtu amezidi sasa yaani hata kutembea nae njiani waona aibu maana misifa mingi
Kinacho nikera ni namna anavyozungumza na wahudumu yaani kuna muda unamuona mpk muhudumu kama amechukia ila hana namna
Mimi sijui kama nitawezana na huyu kiumbe 😩😩😩😩
United States babe...😋Wewe wa wapi ush
Kidogo nikutag mrs vw, kwani mliishia wapi? 🤣 bagambire stupid😂😂
Kwahiyo na yule wa kwenda Niagara Falls hatuendi tena😱
Ndo alivyo na wengi kubadilika ni ngumuYaani hapo lazima apigwe chini mimi na watu wenye misifa halafu kutoa hela mpk mgombane siwezi
Au kwa vile sijawa mpnz wake ndio maana
Yani kwamba wanapenda toto nyeupe!!! Huo ni ugonjwa wa wanaume wengi kanda zote zenye maziwa makubwa fatiliaIla kwenye totozi nyeupe waha hamna kitu 🤣
Ng'wanike, labda uende ndotoni ukiwa umesinzia 😂Kwahiyo na yule wa kwenda Niagara Falls hatuendi tena😱
Sijapentaa🤣 dada unakatisha tamaa vibya wewe🤭 kwahiyo hakuna cha RR tena🙆🏽♀️Ng'wanike, labda uende ndotoni ukiwa umesinzia 😂
Kirahisi rahisi hivyo 😂 😂 epuka matapeli.Sijapentaa🤣 dada unakatisha tamaa vibya wewe🤭 kwahiyo hakuna cha RR tena🙆🏽♀️
Tupange nikufanyie intaviu, nikuachie upako ujipatie Msukuma wako wa milele.Ni kweli huwezi kuwa peke yako
Lakini siku hizi nao wamejanjaruka hawatoi hela wala hawapendi
Kwanza washanipiga matukio hao watu japo ni kabila ambalo natamani sana nipate wA milele huko
Hivivm hizi gifs unazipatiaga wapi wewe mshangazi maana kwenye kila mada una aina yake.Wanakuwaga bahili hao, ni misifa tu mpaka kero 🙌🏽
View attachment 3558231
Seran imenikumbusha yule jamaa wa miradi ya M600 😂😂
Nazipata huko online ☺️Hivivm hizi gifs unazipatiaga wapi wewe mshangazi maana kwenye kila mada una aina yake.
Hakika wewe ni binti wa zamani
mambo yasiwe mengi Wewe nipe hizo tips za kumpata msukumaTupange nikufanyie intaviu, nikuachie upako ujipatie Msukuma wako wa milele.
P
mambo yasiwe mengi Wewe nipe hizo tips za kumpata msukumaTupange nikufanyie intaviu, nikuachie upako ujipatie Msukuma wako wa milele.
P
Shida ni kuwa kwanini aniambie nina kitu fulani ila sikitumii sijui anipe alikuwa ananiambia kama nani na ili iwejeKulalamika kote na kulilia haupewi pesa kumbe hamna hata mahusiano? Sasa alivyokuuliza akupe jiko kama nani that question is justifiable.
🤣muacheShida ni kuwa kwanini aniambie nina kitu fulani ila sikitumii sijui anipe alikuwa ananiambia kama nani na ili iweje
Yaani ni upuuzi ni kama mtu mwinginee asingekuwa anaongelea mambo ya vitu anavyomiliki
Tayari tumeshakuwaga wakwe zaongoja wakuoleedadako ama mwanao utawajuavyema