Yaani mtu hujamuuliza anajiongelesha halafu anakuuliza kama akupe kwanini nikatae then aanze tena kuniuliza nakupa kama nani.. utafikiri alivyokuwa ananiambia alikuwa ananiambia kama nani🤣muache
Utamuacha?Yaani mtu hujamuuliza anajiongelesha halafu anakuuliza kama akupe kwanini nikatae then aanze tena kuniuliza nakupa kama nani.. utafikiri alivyokuwa ananiambia alikuwa ananiambia kama nani
Huyu mtu ana ugonjwa wa Akili wallah 🥹
Linaniambia et nikiwa mpnz wake nitaenjoy et sitaomba hela atanimwagia tuWahaya wanatoa vizuri tu umekutana na mwenye misifa tu ila kutoa hatoi! Tena akikuona umekaa na marafiki zako anatoa kibunda anakuhesabia kwa masifa anakupa🤣
Sijamkubali bado ndio nilikuwa najaribu kumsomaUtamuacha?
Mpe kwanza atamwaga hela tuSijamkubali bado ndio nilikuwa najaribu kumsoma
Hivi kumbe wakogo serious kuna mmoja alikuwa ananiganda et niwe mke mdogo halafu msabato.. akasema niende mwanza ananipangia kwangu 😳😳Uko sahihi sana mkuu!
Tena ukikubali kuwa na wenzio unahudumiwa mpaka sio poa! Aisee wasukuma wanatoa! Ila ndio ukubali uke wenza utajengewa na mambo kama yote😁
Huyu halambii hashindwi kunitangazaMpe kwanza atamwaga hela tu
OkHuyu halambii hashindwi kunitangaza
Mimi sijui kama anavyo tumekutana kimjini mjini tu so sijui kuhusu yeye najua anachoniambia tuNi kweli anayo hayo mahela na mabiashara? Kama anayo mwache atambe. Ukiona anajitamba kwa vitu simple tafuta vyako uone kama ni rahisi kuvipata
Daah labda nianze kujifunza kuigiza maana siwezi kuwa chawa wallahHu
wahaya wanajisifia kweli na wana asili ya uchoyo, ukitaka kula vyake ujifunze uchawa na kumpa masifa kila ukiwa naye.
Most likely ndiyo style yake ya utongozaji, yaani hapo ukiwa unamsifia na kumpamba utakula mpaka vya uvunguni ila kitumbua lazima ale ndiyo mtaanza kwenda sawa.Shida ni kuwa kwanini aniambie nina kitu fulani ila sikitumii sijui anipe alikuwa ananiambia kama nani na ili iweje
Yaani ni upuuzi ni kama mtu mwinginee asingekuwa anaongelea mambo ya vitu anavyomiliki
Kama ni mtoaji hakuna haja ya kumkubali ndio atoe sanasana utaliwa na hutoona mia!Linaniambia et nikiwa mpnz wake nitaenjoy et sitaomba hela atanimwagia tu
Kama anadhalilisha wanawake wenzio kuwa naye makini sana! After all muhesabu kama rafiki punguza route naye!Huyu mtu ambae ananitia aibu mpk kwa wahudumu si nitavurugwa nikimkubali
Ndio wapo serious sana wanapenda kuwa na matawi kila kona hawataki kuumizwa kichwa na mwanamke mmoja, labda hawa walioelimika na wamekulia mjini, japo sio wote!Hivi kumbe wakogo serious kuna mmoja alikuwa ananiganda et niwe mke mdogo halafu msabato.. akasema niende mwanza ananipangia kwangu 😳😳
Ninaogopa mitala.. mitala ije tukiwa tumechoka yaani na umri huu nikawe muke mudogo