Hivi wakurya wana sifa gani kwenye ndoa?

Mimi ni mkurya so naomba nikushaur ule ukweli kabisa

. Kma umepata msabato olewa wala usisite
. Kama umepata aliyekulia mjini olewa wala usisite
. Angalia wazazi wake utapata picha halisi ya alivyo kama wana dini na upendo na aman (peleleza usiangalie kwa macho) olewa

But

Kama ana uprimitive wa aina yoyote usiolewe utajuta mpk unakufa
Kama anaonesha dalili za hatari hata sahiz(hasira kali na ubabe) usiolewe utajuta
Kama kwao kuna ndoa za mitaala usiolewe utajuta
Kama hana dini(comited yeye na familia yake )usiolewe utajuta

Mm ni mkurya nalielewa kabila langu 100% ushaur zaid uliza au njoo pm
 
Kwanza

1.Usiolewe kama unajijua una kaumalaya ndani yako
-atakufanya vibaya sana akijua maana uwaga wana penda sana na wivu mmbaya.

2.Usiolewe kama unajua una kaasili ka dharau
-Usithubutu mkurya uwaga adharauliwi na mwanamke,Kamwe.Atakuvunja kiuno.

3.Usiolewe km ni mkurya wa ndani ndani hajawahi kukaa mjini

4.usiolewe km hajasoma kabisaaaaaaa

Mkurya ana moyo wa kupenda mke wake ILA ni huo huo upendo ndo utaku cost ukimletea ujinga.
 
[emoji817]
Hapo walikulia mjini ni kweli kabisa ,hawana shida .
 
Kuna mmoja niliwah kumpenda hata baada ya kujua kabila lake nikafananisha na ninayoyaskia kuwahusu nikasema bora hata hatukufika mbali.
Huenda wewe ndiyo ulikua tatizo
 
Mzee wako akijua kwa Tabia zenu za ovyo into atapata shida sana.

Dharau kwa mkurya weka pembeni. Itagongwa tu.
 
Mimi ni mkurya so naomba nikushaur ule ukweli kabisa

. Kma umepata msabato olewa wala usisite
. Kama umepata aliyekulia mjini olewa wala usisite
. Angalia wazazi wake utapata picha halisi ya alivyo kama wana dini na upendo na aman (peleleza usiangalie kwa macho) olewa

But

Kama ana uprimitive wa aina yoyote usiolewe utajuta mpk unakufa
Kama anaonesha dalili za hatari hata sahiz(hasira kali na ubabe) usiolewe utajuta
Kama kwao kuna ndoa za mitaala usiolewe utajuta
Kama hana dini(comited yeye na familia yake )usiolewe utajuta

Mm ni mkurya nalielewa kabila langu 100% ushaur zaid uliza au njoo pm
Safi Sana; ola aliekuambia ndoa za mitaala ni tatizo ni nani;
 
Kwanza

1.Usiolewe kama unajijua una kaumalaya ndani yako
-atakufanya vibaya sana akijua maana uwaga wana penda sana na wivu mmbaya.

2.Usiolewe kama unajua una kaasili ka dharau
-Usithubutu mkurya uwaga adharauliwi na mwanamke,Kamwe.Atakuvunja kiuno.

3.Usiolewe km ni mkurya wa ndani ndani hajawahi kukaa mjini

4.usiolewe km hajasoma kabisaaaaaaa

Mkurya ana moyo wa kupenda mke wake ILA ni huo huo upendo ndo utaku cost ukimletea ujinga.
Zingatieni hii nyie wanawake plus ile ya Mubby777
 
MKE AKATWA MASIKIO NA MUMEWE NA KUTOWEKA NAYO, ASIMULIA MKASA WOTE

Doricas Richard (23)MKAZI wa mtaa wa bible wilayani sumbawanga amekatwa masikio yake yote mawili na mpenzi wake aitwae Chacha Nyang'oso mkurya mfanyabiashara na mkazi wa Sumbawanga ambaye kaondoka na masikio yote huku akimtishia kuwa iwapo atazungumza sehemu yoyote atamuua. Kisa cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
IMG_3015.jpg

Chanzo : Millard Ayo
 
Back
Top Bottom