Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Wahaya akaletewe na nyumba ndogoMwanao au Dada yako akikuletea mchumba wa kikurya muambie Bora asiolewe.
Mara Mia Bora aolewe na muhaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahaya akaletewe na nyumba ndogoMwanao au Dada yako akikuletea mchumba wa kikurya muambie Bora asiolewe.
Mara Mia Bora aolewe na muhaya
[emoji817]Mimi ni mkurya so naomba nikushaur ule ukweli kabisa
. Kma umepata msabato olewa wala usisite
. Kama umepata aliyekulia mjini olewa wala usisite
. Angalia wazazi wake utapata picha halisi ya alivyo kama wana dini na upendo na aman (peleleza usiangalie kwa macho) olewa
But
Kama ana uprimitive wa aina yoyote usiolewe utajuta mpk unakufa
Kama anaonesha dalili za hatari hata sahiz(hasira kali na ubabe) usiolewe utajuta
Kama kwao kuna ndoa za mitaala usiolewe utajuta
Kama hana dini(comited yeye na familia yake )usiolewe utajuta
Mm ni mkurya nalielewa kabila langu 100% ushaur zaid uliza au njoo pm
Hujielewi ndio maana !Kuna mmoja niliwah kumpenda hata baada ya kujua kabila lake nikafananisha na ninayoyaskia kuwahusu nikasema bora hata hatukufika mbali
Kwa maana ipi?Hujielewi ndio maana !
Huenda wewe ndiyo ulikua tatizoKuna mmoja niliwah kumpenda hata baada ya kujua kabila lake nikafananisha na ninayoyaskia kuwahusu nikasema bora hata hatukufika mbali.
InawezekanaHuenda wewe ndiyo ulikua tatizo
Safi Sana; ola aliekuambia ndoa za mitaala ni tatizo ni nani;Mimi ni mkurya so naomba nikushaur ule ukweli kabisa
. Kma umepata msabato olewa wala usisite
. Kama umepata aliyekulia mjini olewa wala usisite
. Angalia wazazi wake utapata picha halisi ya alivyo kama wana dini na upendo na aman (peleleza usiangalie kwa macho) olewa
But
Kama ana uprimitive wa aina yoyote usiolewe utajuta mpk unakufa
Kama anaonesha dalili za hatari hata sahiz(hasira kali na ubabe) usiolewe utajuta
Kama kwao kuna ndoa za mitaala usiolewe utajuta
Kama hana dini(comited yeye na familia yake )usiolewe utajuta
Mm ni mkurya nalielewa kabila langu 100% ushaur zaid uliza au njoo pm
Zingatieni hii nyie wanawake plus ile ya Mubby777Kwanza
1.Usiolewe kama unajijua una kaumalaya ndani yako
-atakufanya vibaya sana akijua maana uwaga wana penda sana na wivu mmbaya.
2.Usiolewe kama unajua una kaasili ka dharau
-Usithubutu mkurya uwaga adharauliwi na mwanamke,Kamwe.Atakuvunja kiuno.
3.Usiolewe km ni mkurya wa ndani ndani hajawahi kukaa mjini
4.usiolewe km hajasoma kabisaaaaaaa
Mkurya ana moyo wa kupenda mke wake ILA ni huo huo upendo ndo utaku cost ukimletea ujinga.
Itakuwa kabila lakeMuhaya ana tatzo gan mpaka uwatolee mfano?
Safi Sana; ola aliekuambia ndoa za mitaala ni tatizo ni nani;