Hivi wale wadada wa enzi ile JF wako wapi? Hebu watag hapa waje tujikumbushe nyuma kidogo

Hongera na pole kwa majukumu.

Kweli umri unakimbia nimeamini.
Maana hata mimi naona majukumu yanazidi kuongezeka kwangu.

Nilivyoona comment yako imebidi nitafute socks nivaeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 umenichekesha sana

Nkamu kwa hiyo uliacha kuvaa socksπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…