Hivi wale Waislam wa kipindi kile walipotelea wapi?

Elimu haikufikishwa kwa usahihi Kuna mambo yaliongezwa ili kuuharibu uislam halisi kutembea na kupiga ngoma kwenye majumba ya watu usiku hayo siyo mafundisho ya uislam
Uislam mafundisho yake yamejaa ustaarabu na aman

Ukitaka kustaarabika soma Quran na Sunnah za mtume huko ndo ulipo uislam halisi
Swadakta
 
Ndio maana nikasema nipe Aya basi inayosema kuwe na mashindano ya Quran Kama uislam hauna hisia na maoni ya watu.

Nasubiri Aya MKUU
Imepokelewa kwa Ibn Masoud (Radwiya Allahu 'anhu) kwamba mtume Muhhamad (SAW) Amesema: Atakayesoma herufi moja katika kitabu Cha Allah atapata hasanah (jema) moja, na kila hasanah moja ni sawa na thawabu kumi, Wala sisemi 'Alif-laam-miym' ni herufi moja, bali Alif ni herufi moja na laam ni herufi moja na miym ni herufi moja.
Rawahu Tirimidhiy

Suratul maida aya ya 48
Basi shindaneni katika mema, kwa mwenyezi Mungu ndiyo marejeo yenu nyote.

Muongozo wa uislam ni Quran na Sunnah
 
Elimu haikufikishwa kwa usahihi Kuna mambo yaliongezwa ili kuuharibu uislam halisi kutembea na kupiga ngoma kwenye majumba ya watu usiku hayo siyo mafundisho ya uislam
Uislam mafundisho yake yamejaa ustaarabu na aman

Ukitaka kustaarabika soma Quran na Sunnah za mtume huko ndo ulipo uislam halisi
Sunnah ya mtume ni Qur'an,siyo blaahblaah za Abu hurayra za kuitwa hadithi
 
Imepokelewa kwa Ibn Masoud (Radwiya Allahu 'anhu) kwamba mtume Muhhamad (SAW) Amesema: Atakayesoma herufi moja katika kitabu Cha Allah atapata hasanah (jema) moja, na kila hasanah moja ni sawa na thawabu kumi, Wala sisemi 'Alif-laam-miym' ni herufi moja, bali Alif ni herufi moja na laam ni herufi moja na miym ni herufi moja.
Rawahu Tirimidhiy

Suratul maida aya ya 48
Basi shindaneni katika mema, kwa mwenyezi Mungu ndiyo marejeo yenu nyote.

Muongozo wa uislam ni Quran na Sunnah
Ibn masoud ndiyo Nani!!!?..huo ndiyo upotofu wenyewe
 
Sunnah ni mambo ambayo ukifanya unalipwa thawabu na usipo fanya hupati dhambi

Quran siyo Sunnah mzee acha kabisa kuandika upuuzi
 
Jirani yangu mzee mmoja mwenye mwili mkubwa, wakiwa kwenye huo msafara huku wakiwa mori umepanda na wanafanya kama wanakula mchaka mchaka alidondoka na kupoteza maisha...
Nakumbuka jina alikuwa akiitwa Tagumbo
 
Ibn masoud ndiyo Nani!!!?..huo ndiyo upotofu wenyewe
Abdullah ibn Masoud alikua ni Swahaba wa mtume kutoka kabila la Hudhayl alianza kuzisikia habari za mtume akiwa mtoto huko milimami akiwa anachunga mbuzi (watu walikua wanamuita mtoto wa kijakazi)
mtoto huyo ambae badae alikuja kuwa Swahaba wa mtume alikua ni mtaalam wa kusoma Quran

sasa Kama hata maswahaba wa mtume huwajui na unawapuuza ni kipi unacho kijua katika uislam? au kupinga kwa hisia?
 
Sasahivi wamebaki kujenga chuki na kanisa refer inshu ya kubomoa kanisa la TAG zenji..na wengine kulialia wanahujumiwa kama babu yao Mohamed Said

Dini + Ujinga ni janga kwa maendeleo ya nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Jirani yangu mzee mmoja mwenye mwili mkubwa, wakiwa kwenye huo msafara huku wakiwa mori umepanda na wanafanya kama wanakula mchaka mchaka alidondoka na kupoteza maisha...
Nakumbuka jina alikuwa akiitwa Tagumbo

Duuuh! Noma Sana hiyo. Ajali kazini
 
Imepokelewa kwa Ibn Masoud (Radwiya Allahu 'anhu) kwamba mtume Muhhamad (SAW) Amesema: Atakayesoma herufi moja katika kitabu Cha Allah atapata hasanah (jema) moja, na kila hasanah moja ni sawa na thawabu kumi, Wala sisemi 'Alif-laam-miym' ni herufi moja, bali Alif ni herufi moja na laam ni herufi moja na miym ni herufi moja.
Rawahu Tirimidhiy

Suratul maida aya ya 48
Basi shindaneni katika mema, kwa mwenyezi Mungu ndiyo marejeo yenu nyote.

Muongozo wa uislam ni Quran na Sunnah

Na wapi wanakataza kusherekea sikukuu za kiislam Kwa ALA za Muziki na nyimbo??
 
Back
Top Bottom