Hivi wale Waislam wa kipindi kile walipotelea wapi?

Hivi wale Waislam wa kipindi kile walipotelea wapi?

Upendo huo ulikuja kuondolewa na wazee wa vipedo

Hawa walikuja na teknolojia nyingine kwanza ,walikuwa wanapingwa sana na wenzao ambao walikuwa wanatuheshimu,kushirikiana na kutupenda sisi manaswara

Walikuwa vikundi vidogo sana enzi hizo na walikuwa wanaitwa ( wazushi) neno la kiarabu silisemi, na ili kuwachota wale wenye msimamo wa wastani walikuwa wanapokea misaana mingi kwa waajemi fulani ambao walikuwa wanatembea kwa miguu vijijini

Gafla wakaanza kuongezeka, mtifuano ulikuwa siku ya kufungua wao wanawahi bakora zilirindima

Basi ,ndio hao wamekuja na mafundisho yao yaliyoondoa ule wema, wa wale wa zamani , wapo waliojiingiza kwenye vyama tofauti ijapokuwa hawaamini katu katu mfumo wa sheria za kidunia, mambo mengi muda mdogo
 
Uislamu hautufundishi kuwapenda makafiri mna nyie kma mumemkufuru Mungu alowaumba basi hmna mtakaempenda hta mmoja
 
Hawa ni watu wa fitna fitna tu, wapo tayari kugeuza maana ya aya ili kushinikiza matakwa ya nafsi zao.
Uzuri wenyewe siku hizi fitna zao zinawageukia wenyewe, kila siku mashehe wao wa kisalafi wanarumbana, wanakashifiana, wanatukanana, wanadharauliana wenyewe kwa wenyewe.
Halafu alhamdulillah kwa sisi wanaotuita watu wa bid'aa amani imetawala.
@Flano kakae chini usome dini yako usipende kufuata ushabiki
Ni ushauri tu huo
 
Sunnah ni mwenendo,kwa muktadha wa dini ni aliyotenda mtume ambayo hayamo kwenye Qur'an,wenyewe wahabi(answar Sunnah) ukiwaambia Sunnah ni ukifanya unapata thawabu ukiacha hipati dhambi mtagombana,sababu kuvaa dontach kwao ni Sunnah na kutovaa ni ukafiri
Kwa tafsiri ya haraka haraka, sunnah ni mambo ya kipuuzi aliyofanya mtume Muhammad nje ya Qur'an, kwahiyo wakaona kila alichokifanya kisiwe dhambi.
 
Enyi makafiri hamuyaoni hyo yanotendeka huko makanisani kwenu ya kuwalawiti vijitoto kutoka kwa hao walokuleteeni dini? Bora yule aliyeoa kuliko kuvilawiti vijitoto

hlf usilolijua ni kua miili ya waarabu ni tofauti na huku kwetu wao wanakua haraka mno sasa ww unachokishabikia sijui nn
karekebisheni huko makanisani kwenu kwanza
Hao wanaobaka watoto ndiyo mitume walioleta Dini ambao ndiyo muongozo wa Maisha?
 
ndio unaoa hata wa miaka 5 uliza watemi waliokuwa wanatawala tanzania zamani walikuwa wanaoa watoto wadogo sana. na ukumbuke zamani kulikuwa hakuna dawati la kijinsia hizi sheria za kufika miaka 18 zimetungwa majuzi juzi na wazungu ila kabla ya hapo watu walikuwa wanaoa watoto wadogo sana wanaishi nao
Hao watemi walikuwa Na Mungu wa Kuwaambia Kuwa wanchofanya wanakosea? Kuoa mtoto hajapevuka kiakili kimaamuzi inakuwa kama unabaka?
Hao watemi walikuwa mitume wa Mungu?
 
Hao wanaobaka watoto ndiyo mitume walioleta Dini ambao ndiyo muongozo wa Maisha?
M nitakuletea facts safi sana tuone wanobaka watoto ni akina nani
Endelea kuongea uaibike hapa hapa
 
Achana na mambo hizo Mwaisa....
Hebu kwanza JOIN THE CHAIN afu uje kivingine
 
ww kma sio mshia basi sio muislamu kabisaaa
kma unakataa hadith za Mtume ww sio muislamu ilo ulitambue
Ndiyo ulivyodanganywa hivyo!?...niiamini Qur'an uniambie siyo muislam kisa hadithi ambazo Shia,sunni nk kila mmoja ana wapokezi wake!!!...kwanza hadithi Mara nyingi zinakinzana na Qur'an na kuleta kitu ambacho Qur'an haijasema
 
Back
Top Bottom