Hivi wale Waislam wa kipindi kile walipotelea wapi?

Punguza kujieleza sana
 
wewe umeomba aya umepewa isome na tafsiri yake ipo hapo. nyinyi watoto mliozaliwa wakati wa coronna mnashida sana
Aya imetaja miluzi na kupiga makofi yeye anasema muziki!!!...anamzulia Allah uwongo!!?...anamlisha maneno?...tangu lini mluzi na makofi ikawa muziki!!!?
 
Dunia imebadilika sana mkuu hahhaahhaha
Mafundisho ya dini nayo vilevile
Nalog off
 
Mzee aliyestaarabika anaweza kuoa kabinti ka miaka 9?
Enyi makafiri hamuyaoni hyo yanotendeka huko makanisani kwenu ya kuwalawiti vijitoto kutoka kwa hao walokuleteeni dini? Bora yule aliyeoa kuliko kuvilawiti vijitoto

hlf usilolijua ni kua miili ya waarabu ni tofauti na huku kwetu wao wanakua haraka mno sasa ww unachokishabikia sijui nn
karekebisheni huko makanisani kwenu kwanza
 

Povuuu
 
Mtume ﷺ alishawahi kuwaita maswahaba zake halafu akawafanyisha mashindano ya kuhifadhi Quran kisha mshindi akapewa zawadi?
Tatizo mafundisho mengi sana ya sasa yamefanyiwa utundu na ma Orientalist.
Kilichobaki kila kukicha ni waislamu wenyewe kwa wenyewe kunyoosheana vidole na kukufurishana.
 
Hii aya inaelezea ibada za manasara wala haijaharamisha nyimbo.
Kama una aya yoyote inayosema nyimbo ni haramu iweke hapa.
 
Nyie mnaojiita masalafi si ndio nyinyi wenyewe kwa wenyewe kazi zenu kupigana majungu kwenye mimbar za misikiti?
Na jinsi mlivyokua ni fitna katika umma mlianza kuwagawa waislamu wa madhehebu nyingine ila sasa hivi nyinyi wenyewe mmegawanyika mapote kwa mapote ya kisalafi, kazi zenu ni kukashifiana, kutukanana, kuvunjiana heshima na kudharauliana wenyewe kwa wenyewe.
Zindukeni huo usalafi wenu umeratibiwa na Mayahudi ili muwatumikie na kuudhoofisha uislamu.
 
Aya imetaja miluzi na kupiga makofi yeye anasema muziki!!!...anamzulia Allah uwongo!!?...anamlisha maneno?...tangu lini mluzi na makofi ikawa muziki!!!?
Hawa ni watu wa fitna fitna tu, wapo tayari kugeuza maana ya aya ili kushinikiza matakwa ya nafsi zao.
Uzuri wenyewe siku hizi fitna zao zinawageukia wenyewe, kila siku mashehe wao wa kisalafi wanarumbana, wanakashifiana, wanatukanana, wanadharauliana wenyewe kwa wenyewe.
Halafu alhamdulillah kwa sisi wanaotuita watu wa bid'aa amani imetawala.
 
Sio Hvo ila uislam na maswala kama Yao yanamiongozo yake, hawakua wanafata utaratb , in deep kasome dini utajua nachomaansha
Kwa hiyo kumbe Wale ndio waliokuwa wanakosea Mkuu?

Kwamba uislam wa sasa ni Bora kuliko wa Kale?
 
Hapa umepigilia msumari wa utosi asipoelewa basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…