Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu tulitegemea hako ka laki nane tulipe ada ya watoto..
Hii ni hatari mnoo.. Unaweza jikuta unaolewA hivihivi..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dah jamani.
Umeongea ukweli hii kada ina watu wa hovyo Sana wengi ni waliofeli huu ni ukweli mchungu Sana , they can't do any forceful action kujinasua , ni waoga wa kupoteza ajira hii inachangiwa wengi wao wametokea kwenye poverty line, waoga ni wengi na pia ina wanawake wengi Kias kwamba hata wanaume nao wanaonekana ni mdebwedo.Hakuna mgomo wa walimu hizi Ni kauli za kujifariji tu ,tunaona wakuu wa shule ,walimu wakuu ,ma meck wanavyowapelekesha walimu wa kawaida kisa posho wanazokula na kwa ujinga wa walimu nao wanasalitiana wao kwa wao kwa kuamua kuwa wapeleka taarifa za walimu wenzao kwa hao viongoz uchwara....
Unachoweza kuchoma ni mishkaki tu we kima..Tunakuchoma Sasa ndio utatia akili ndio utajua cc ni was.ng au wasengerema.
Nafikiri anatakiwa ashikilie papo hapo ili akili ziwakae, mna mahaba mazito na ccm sanaMishahara yetu duni... Tumekubali
Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali
Madaraja hatupandi.. Tumekubali
Annual incliment hamna.. Tumekubali.
Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.
LAKINI
Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?
Hivi Ualimu ni laana?
Ujasiri wote huu unafanya kazi ya kike keyboard worrierUnachoweza kuchoma ni mishkaki tu we kima..
Hujui watu wangapi nawakilishA vilio vyao kwa post hii...
Alafu kumbuka.. Kazi yeyote ya kiapo haitakiwi kuwa 'inquiries'..
Kiapo kimekiukwa...
When you see people talk.. You shut the F..uck up..
Its their mistake..not ours.
Mazwazwa pia mkuuRespect kwa wapumbavu my foot walimu ni wapumbavu we huoni walikuwa wanachapwa fimbo? Narudia Tena walimu ni wapumbavu.ushaona manesi au madaktari wakichapwa fimbo?
Sijui kwanini watu wanawachukia walimu hivi dah.Huwezi amini kinachoandikwa hapa..
Afu usikute huyu ni mchoma mahindi au mihogo ambae wateja wake wakuu ni walimu..
Damnn..!!!Umeongea ukweli hii kada ina watu wa hovyo Sana wengi ni waliofeli huu ni ukweli mchungu Sana , they can't do any forceful action kujinasua , ni waoga wa kupoteza ajira hii inachangiwa wengi wao wametokea kwenye poverty line, waoga ni wengi na pia ina wanawake wengi Kias kwamba hata wanaume nao wanaonekana ni mdebwedo.
Inahuzunisha walimu wengi kwenye kampeni walikuwa upande wa Lissu lakn walipopewa dili la kusimamia chap Tu wakawa upande wa serikali what the fu-ck .... It is not the power of enemy who defeat us it is just Fear of loosing...shame ualimu
Huwezi amini kinachoandikwa hapa..
Afu usikute huyu ni mchoma mahindi au mihogo ambae wateja wake wakuu ni walimu..
Huyu mtoa mada ni miongoni mwa walimu hovyo kabisa, yaani ameshindwa kuwasiliana na baraza huko analeta huku, hizi kazi maalumu zina usiri ndani yake na wanakula hadi viapo.Naamini serikali imeona walimu wake inaowapeleka marking kila mwaka wanavyoichafua na kutoa Siri za serikali. Hamkuambiwa Aina za Siri? Hamkuambiwa Mambo ya embargo kwenye semina ? Necta lioneni hili mlifanyie kazi.
Posho ya nguo?Mkuu tunakuwa forced... Hakuna mwalimu anaipenda CCM... LABDA WAKUU WA SHULE... COZ WANA POSHO YA NGUO.