Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Posho ya nguo?
Yes ! It sounds weird but it is what it is....
Thats it..

So Walimu tumegawanywa ki hivyo. Wakuu wa Shule hawawezikututetea tena.
Wamekuwa kama maboya flani hivi... Kisa posho...

Damnnn this COUNTRY.
 
Mimi niko upande wa John, hivi akiamua kulipa vyote hivyo atatoa wapi pesa yote hiyo? Wacha John akamilishe kwanza miradi mikubwa ya kimkakati! Nyie walimu ni punching bag ya ka John vumilieni tu! Tunajua mlishiriki vizuri sana kupakua yale masanduku ya kura fake vituoni hivyo this thing is eating on your side (direct translation from swahili - inakula kwenu)!! Mi-five tenaaaaaaa! Na ikimpendeza hata Milele ni sawa tu!
 
Umesahau kitu kimoja:

Kuwezesha kuiba kura.... Tumekubali.

Mengine yote sawa.
 
Baraza la mitihani ni chombo cha heshima wakati mpaka mitihani ya std seven inaibiwa??
 
Baraza la mitihani la nchi yetu lina heshima kubwa.Siyo uungwana kuanika mambo yake kwenye mitandao ya kijamii.Tuache mara moja.
 
Baraza la mitihani ni chombo cha heshima wakati mpaka mitihani ya std seven inaibiwa??
Mitihani kuibiwa haimaanishi kuwa NECTA siyo chombo Cha heshima.Kwani kwako ukiibiwa na majambazi,Basi unakuwa huna heshima?
 
Haahaa walimu wanadhulumiwa Sana..
 
Huyo umemchongea tayari! Ka John kataibuka huko na uhakiki wa wafanyakazi tena!
 
Wacha mlaaniwe Kabisa na asiwaongeze chochote kwasababu pia mlimsaidia kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…