Boss umegeuza maandiko, haki soma tena hu mstari wa tamaa 😀 😀 😀Jiulize kwanza kwanini wanawake wanajiuza wanaume wawalipe kufanya nao ngono, lakini wanaume hawajiuzi? Au kwanini male pornstars hawalipwi vizuri kama wanawake? Bible imesema tamaa ya mwanaume ipo kwa mwanamke, wabahili na wasio nazo tunajifanya wenyewe.
India wanawake wanawalipia wanaume mkuuUjue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Sasa tuizungumzie "mahari"
1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?
2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Wazazi wa mwanaume wenyewe hawapaswi kupewa shukrani ?Kutoa mahari Ni Jambo la heri Sana.
Ni ishara ya kuonyesha heshima na shukrani kwa wazazi wa mwanamke uliyemuoa.
Huwezi chukua tu mtoto wa kizembe na kwenda kuishi naye bila kutoa shukrani zozote kwa wazazi wake
Hapo utakuta zamani kuna kazee kamoja kalikua na shida ya hela au ng'ombe halafu mwamba akajitokeza kumuoa binti yake basi mzee akamwambia lete ng'ombe kumi, majirani wakaiga utaratibu ukasambaa na ndio mpaka na leo umekua utaratibu rasmiUjue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Sasa tuizungumzie "mahari"
1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?
2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Inafikirisha hii inaweza kuwa kweliHapo utakuta zamani kuna kazee kamoja kalikua na shida ya hela au ng'ombe halafu mwamba akajitokeza kumuoa binti yake basi mzee akamwambia lete ng'ombe kumi, majirani wakaiga utaratibu ukasambaa na ndio mpaka na leo umekua utaratibu rasmi
Nafahamu hiloIndia wanawake wanawalipia wanaume mkuu
Will you help him feed his family?We umeambiwa mahari kiasi gani tukuchangie wanajamii forum!?
Maana kwa hayo manung’uniko ni ishara ya kupungukiwa mahari.
We can help you, we are family!
Mi ndo mana nawakopa tu wote wazazi na watoto nawakopa tu.Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Sasa tuizungumzie "mahari"
1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?
2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Pamoja sanaNi utaratihu wa kupimbavu tu usiokuwa na maana yoyote hasa kwa kizazi hiki kilichopinda.
Unakutana na mdada watu wamejilia wakajichokea, wewe ndio kafara ya kumlipia mapesa ambayo ungewekeza na kuoata faida. Wengine wameenda mbali zaidi ya kuharibiwa kabisa....
...mahari haina maana kwa kizazi hiki!!
HaaaaaaahMi ndo mana nawakopa tu wote wazazi na watoto nawakopa tu.
Badae wataftane wenyewe huko na mimba inakua tayari
Hili swali wazee ndio linawahuauUjue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.
Sasa tuizungumzie "mahari"
1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?
2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Kwani unakua umefungwa kamba kwamba usipomlipia haufunguliwi, sema we mzee unalalamika bure tu, unajua mahari huwa hamlazimishwi kulipa, mnajipeleka wenyewe kwenye familia zetu na mkitajiwa mnalipaNi utaratihu wa kupimbavu tu usiokuwa na maana yoyote hasa kwa kizazi hiki kilichopinda.
Unakutana na mdada watu wamejilia wakajichokea, wewe ndio kafara ya kumlipia mapesa ambayo ungewekeza na kuoata faida. Wengine wameenda mbali zaidi ya kuharibiwa kabisa....
...mahari haina maana kwa kizazi hiki!!
Ndio utaratibu wa jamii, lazima twende na vile jamii inataka. Lakini itafikia mahali huu utaratibu utakufa tu. Haiwezekani umelala na wanaume kumi, mimi wa kumi na moja niwe chambo, kisa tu nataka tuishi. Utaratibu wa hovyo kabisa huu.Kwani unakua umefungwa kamba kwamba usipomlipia haufunguliwi, sema we mzee unalalamika bure tu, unajua mahari huwa hamlazimishwi kulipa, mnajipeleka wenyewe kwenye familia zetu na mkitajiwa mnalipa
Kama ni skrepa na bado umelilipia mahari basi wewe uko na shida sio bure
Hahaha doo, it begins with you. Anapotokea mwamba kumuoa binti yako usichukua mahari, huu utaratibu sio sheria na haupo kwenye katiba wala kwenye vitabu vya dini kwa hiyo tunaweza ubadilishaNdio utaratibu wa jamii, lazima twende na vile jamii inataka. Lakini itafikia mahali huu utaratibu utakufa tu. Haiwezekani umelala na wanaume kumi, mimi wa kumi na moja niwe chambo, kisa tu nataka tuishi. Utaratibu wa hovyo kabisa huu.
Mahari is for purity, sio kissme kishaota kutu nalipishwa 5m, wtf!
PamojaHili swali wazee ndio linawahuau
Binti yangu asipofunga miguu asitegeme mimi kupokea mahari yoyote, na hili swali nitamuuliza. Inauma sana kuoa mwanamke amechakazwa, yet unaambiwa 4M, ya nini sasa wakati aliolewa kabla ya kuolewa.Hahaha doo, it begins with you. Anapotokea mwamba kumuoa binti yako usichukua mahari, huu utaratibu sio sheria na haupo kwenye katiba wala kwenye vitabu vya dini kwa hiyo tunaweza ubadilisha