Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

Jiulize kwanza kwanini wanawake wanajiuza wanaume wawalipe kufanya nao ngono, lakini wanaume hawajiuzi? Au kwanini male pornstars hawalipwi vizuri kama wanawake? Bible imesema tamaa ya mwanaume ipo kwa mwanamke, wabahili na wasio nazo tunajifanya wenyewe.
Boss umegeuza maandiko, haki soma tena hu mstari wa tamaa 😀 😀 😀
 
Haki kweli vijana uchumi mbovu, mpaka tumefika huku hahahaha. Haya!
 
Kutoa mahari Ni Jambo la heri Sana.

Ni ishara ya kuonyesha heshima na shukrani kwa wazazi wa mwanamke uliyemuoa.
Huwezi chukua tu mtoto wa kizembe na kwenda kuishi naye bila kutoa shukrani zozote kwa wazazi wake
 
Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.

Sasa tuizungumzie "mahari"

1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?

2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
India wanawake wanawalipia wanaume mkuu
 
Kutoa mahari Ni Jambo la heri Sana.

Ni ishara ya kuonyesha heshima na shukrani kwa wazazi wa mwanamke uliyemuoa.
Huwezi chukua tu mtoto wa kizembe na kwenda kuishi naye bila kutoa shukrani zozote kwa wazazi wake
Wazazi wa mwanaume wenyewe hawapaswi kupewa shukrani ?
 
Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.

Sasa tuizungumzie "mahari"

1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?

2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Hapo utakuta zamani kuna kazee kamoja kalikua na shida ya hela au ng'ombe halafu mwamba akajitokeza kumuoa binti yake basi mzee akamwambia lete ng'ombe kumi, majirani wakaiga utaratibu ukasambaa na ndio mpaka na leo umekua utaratibu rasmi
 
Inafikirisha hii inaweza kuwa kweli
 
Ni utaratihu wa kupimbavu tu usiokuwa na maana yoyote hasa kwa kizazi hiki kilichopinda.

Unakutana na mdada watu wamejilia wakajichokea, wewe ndio kafara ya kumlipia mapesa ambayo ungewekeza na kuoata faida. Wengine wameenda mbali zaidi ya kuharibiwa kabisa....

...mahari haina maana kwa kizazi hiki!!
 
Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.

Sasa tuizungumzie "mahari"

1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?

2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Mi ndo mana nawakopa tu wote wazazi na watoto nawakopa tu.
Badae wataftane wenyewe huko na mimba inakua tayari imeiva.
Inakula kwao
Mahari nanyoko huku mi bibi yangu kaolewa ya mkeka.
 
Ni utaratihu wa kupimbavu tu usiokuwa na maana yoyote hasa kwa kizazi hiki kilichopinda.

Unakutana na mdada watu wamejilia wakajichokea, wewe ndio kafara ya kumlipia mapesa ambayo ungewekeza na kuoata faida. Wengine wameenda mbali zaidi ya kuharibiwa kabisa....

...mahari haina maana kwa kizazi hiki!!
Pamoja sana
 
Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi.

Sasa tuizungumzie "mahari"

1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani ya msingi haswa ?

2. Kwanini pia wanaharakati wa haki za wanawake hawaoni haka kautaratibu kuwa kakishamba na kupiga kelele kafutwe ?
Hili swali wazee ndio linawahuau
 
Ni utaratihu wa kupimbavu tu usiokuwa na maana yoyote hasa kwa kizazi hiki kilichopinda.

Unakutana na mdada watu wamejilia wakajichokea, wewe ndio kafara ya kumlipia mapesa ambayo ungewekeza na kuoata faida. Wengine wameenda mbali zaidi ya kuharibiwa kabisa....

...mahari haina maana kwa kizazi hiki!!
Kwani unakua umefungwa kamba kwamba usipomlipia haufunguliwi, sema we mzee unalalamika bure tu, unajua mahari huwa hamlazimishwi kulipa, mnajipeleka wenyewe kwenye familia zetu na mkitajiwa mnalipa

Kama ni skrepa na bado umelilipia mahari basi wewe uko na shida sio bure
 
Ndio utaratibu wa jamii, lazima twende na vile jamii inataka. Lakini itafikia mahali huu utaratibu utakufa tu. Haiwezekani umelala na wanaume kumi, mimi wa kumi na moja niwe chambo, kisa tu nataka tuishi. Utaratibu wa hovyo kabisa huu.

Mahari is for purity, sio kissme kishaota kutu nalipishwa 5m, wtf!
 
Hahaha doo, it begins with you. Anapotokea mwamba kumuoa binti yako usichukua mahari, huu utaratibu sio sheria na haupo kwenye katiba wala kwenye vitabu vya dini kwa hiyo tunaweza ubadilisha
 
Binti yangu asipofunga miguu asitegeme mimi kupokea mahari yoyote, na hili swali nitamuuliza. Inauma sana kuoa mwanamke amechakazwa, yet unaambiwa 4M, ya nini sasa wakati aliolewa kabla ya kuolewa.
 
Back
Top Bottom