Napenda sana kurejea nadharia za Mh Kashimba (mb)Mkuu ukiona hivyo basi ujue kuwa mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana kwakua haumruhusu mtu kuwa mbunifu bali unamfanya apate ajira tu ya kawaida.
Hali ni mbaya zaidi kwa miaka ya karibuni kwani wanafunzi wamekuwa wanakaririshwa tu ili kujibu mitihani na shule zifanye biashara.
Tunapaswa tubadili mitaala yetu ili iwajenge wanafunzi katika kuitumia elimu yao nje ya mfumo wa ajira za kawaida.
Haya ni maneno ya mkosaji! Wewe endelea kusema hivyo hivyo na muda haurudi nyuma.Kupata ufaulu mkubwa haina maana ndio unaweza kuleta matokeo tofauti katika sekta ya elimu au kuwa na mawazo tofauti na waliopo.
Simply ni alama tu kubwa means ulifundishwa na ukafundishika hakuna kingine.
Hizi mashirika ni pasua kichwa, unatuminishwa vibaya mno. Ndugu yangu alikuwa best student ud, akapta PWC, mbona aliacha kaziWapo wameajiriwa na multinationals big 4 auditing firms.
Ukitaka kuwaona tembelea ofisi za pwc, kpmg, delloitte, ernst & young,
Hizi mashirika ni pasua kichwa, unatuminishwa vibaya mno. Ndugu yangu alikuwa best student ud, akapta PWC, mbona aliacha kazi
Nafahamu vizuri maana tunawatumia kwenye auditing zetu. Hawana maajabu kihivyo.Haya sio mashirika. Bali ni kampuni zinazofanya biashara za ukaguzi na huduma zingine za kitaalamu.
Kazi za ukaguzi na kuuza huduma za kitaalamu hazitaki mvivu wala kilaza.
Pia hizi kampuni mtu kuacha kazi wala huzikomoi maana ni kama chuo huwa hawategemei mtu akae kwao miaka 10. Ndio Maana kila mwaka huwa zinaajiri fresh graduates waliofanya vizuri darasani kuanzia sekondari mpaka elimu ya juu. Na hii ni dunia nzima zipo na zinaajiri kwa mfumo huo huo.
Mfano CEO wa sasa hivi wa NMB. Alikuwa bosi wangu Big 4. Ukienda kila benki nchini ama taasisi yoyote ya kimataifa lazima umkute alumni wa big 4 kama mkuu wa kitengo cha finance ama business advisory
Nafahamu vizuri maana tunawatumia kwenye auditing zetu. Hawana maajabu kihivyo.
Wako overated sana. Kuna ambao tuliwapa kazi tena hao big 4 unaowasema lakini kazi ilikuwa ya low qualityMaajabu yapo. Mojawapo ni uzoefu wa kufanya task nyingi kwa umakini ndani ya muda mfupi. Hii ndio sababu wanaajiri A students
Hao ni wa MCHONGO!! Kuwa COMPETENT inabidi uwe unasoma mara kwa mara yale uliyofundishwa CHUONI.Wako overated sana. Kuna ambao tuliwapa kazi tena hao big 4 unaowasema lakini kazi ilikuwa ya low quality
Sawa lil wayneYeah, You Know! Yeah, I'm The Best! I'm Me! I'm Me! I'm Me! Form Four Tanzania One 2007! The Hottest Under The Sun.. [emoji2411]
Yeah, you know what I'm saying!Sawa lil wayne
Profesa IBRAHIM LIPUMBA yupo mbali sana KIUCHUMI na amekitumia CHAMA CHA WANANCHI - CUF vizuri katika kujijenga KIUCHUMI na KISIASA.Akina Lipumba ndo mfano wao. ππππ