Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?

Huwa wanaenda USALAMA WA TAIFA (TISS)
 
Huwa wanaenda USALAMA WA TAIFA (TISS)
Sina uhakika katika hili! Kwa sababu WANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA huwa wanafahamiana na hakuna hata mmoja aliyejiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, achilia mbali kufanya kazi SERIKALINI.
 
Huyu Erasm inyasse namjua,
Mzazi wake tunafahamiana sana
 
Ufaulu kiwa TO sio kila kitu kwenye maisha, ndio maana wakifika chuo wanapotea na kwenye maisha wanapotea zaidi.
 
Wengi wanafanya kazi katika Taasisi za serikali kina TANESCO, TARURA, TANROAD, PSSSF, NIDA etc. na wanapata mishahara minono tu.
 
Alex alikufa? Nini sababu?
 
Kama ulishindwa darasani usiwanenee uwongo wenzio.
Hii HULKA ya kusema UONGO huwa ipo kwa WATANZANIA wengi na ni TABIA ambayo imezoeleka sana.
Wengi wao wako nje ya nchi wanapiga kazi,we baki na roho yako mbaya iliyojaa uwongo.
​
Yeah, wewe unajua and you know what - sasa hivi nimerudi TANZANIA na kuna MRADI nimepata huku MBEYA. Lakini baadae nitarudi tena NJE YA NCHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…