Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?

Unataka usikie maisha yamewapiga ili ufurahie sio

Wengi wanafanya vizuri kwenye sekta zao na maisha mengine yanaendelea kama ambavyo maisha yenu nyie vilaza yanaendelea.
[emoji1787][emoji1787]

Bongo tunakasumba ka kufurahia matatizo kwa wengine.

Mfano: Mtu hakubahatika kwenda shule kwa sababu zake binafsi ila anajifariji kwa kusema mbona wasomi wengi tu wako mtaani wanauza maji.

Au kuna msemo wao wakusema wasomi wamelifanyia nn hili taifa, utafikiri wao vilaza kuna kitu kikubwa wamelifanyia hili taifa.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 

Huu ndo uchawi wenyewe.

Uhalisia ni kwamba wasomi wengi wana afadhali kuliko wasio wasomi.
 
Naona Serikali ilikuacha huko kimkakati ili tukikinukisha kwa Mr Kiduku, uwe ^damage control^ kwa kuzi-feed ICBMs coordinates za Chattanooga au Honolulu au hata Area 5 huko, badala ya kuzielekeza pale Ikulu mpya Magogoni na ile ya zamani ya Chamwino Dodoma.
 
Hiyo ni dalili mojawapo kubwa kwamba Tanzania haijafanikiwa 100% kuwashinda wale maadui 3: UJINGA, MARADHI, UMASKINI, ambapo huyo wa kwanza ndiye baba na mama yao mzazi na mlezi.
 
Nilifanyaga kazi big 4 mojawapo jina kapuni baada ya kumaliza chuo. Staff wenzangu wengi walikuwa katika Top 10 za necta form 4 na form 6 wakati wanasoma sekondari
Vipi utendaji wao wa kazi.
 
Acha umbea
Umepotoka sana, hili si suala la umbea.....serious nilitaka tu kujua kutokana na historia ya kusisimua ya yule dogo (alishinda bila kutegemewa kwani ni wa kutoka shule ya kata)
 
Tuacheni,endeleeni na mambo yenu...
Wadau wamenikumbusha kabisa wale WANAFUNZI wa ST MARIA GORETTI ya pale MOSHI MJINI. Yaani wale WATOTO walikuwa wanakodiwa KILIMANJARO EXPRESS wakati wa likizo, halafu mwenye MABASI alikuwa anasoma pale OLD MOSHI na ndio alikuwa TO WA KIDATO CHA NNE - 2007.


​
Baada ya matokeo ya KIDATO CHA SITA kutoka, wale WATOTO wakapotea wote na wengine sijui walipotelea wapi lakini HALI YA HEWA haikuwa nzuri πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Je elimu ya nchi hii inasaidia kumjenga mtu awe na critical thinking ili aweze kupata majawabu ya matatizo yanayoikabili Dunia?
 
Elezea vizur chief
 
Elezea vzur chief
​
Kula NGOMA KALI YA KISAUZI πŸ‡ΏπŸ‡¦ kwanza, halafu MAMBO mengine ni baadae. Vuka ube ISHANDAPHA ekuseni kuyi sonto 🎢 Noma ngabe ubhekene naziphi inkinga 🎢 INSHANDAPHA 🎢
 
Tuacheni,endeleeni na mambo yenu...
​
Kuna WATU walinuna kipindi ambacho TO WA KIDATO CHA NNE [2007] alivyokuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM] - CoHSS [2012/13]. Yaani just like BARRACK HUSSEIN OBAMA akitembea katikati ya MITAA YA JIJI LA WASHINGTON DC nchini MAREKANI β˜ΊοΈπŸ‡ΊπŸ‡²β˜ΊοΈ

Ile ilikuwa ni PRODUCT ya OLD MOSHI na UHURU SEKONDARI, lakini wale WATOTO wa ST MARIA GORETTI na SHULE nyingine za kufanana na hizo sijui walipotelea wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…