Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,553
- 2,137
Israel kawaambia waache kutengeneza silaha za nuclear, wao wanajifanya hawasikii takwa la mayahudi wanamsikiliza ayatollah ili azitumie kuifuta Israel. Wanafutwa wao sasa.Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Itachukua muda mkuu ukizingatia huyo mmoja alikuwa kiongozi anayetegemewa katika kuratibu, kudhibiti na kutekeleza mpango kazi na pia tegemeo la rais wa Iran.Elimu inakua transmitted…Ataua ila bado wataendeleq kuzalisha wanasayans wapya as long as iran ina wananchi wake….Hyo Elimu ya Nuclear itafundshwq tu na kua developed.
Always kujenga nchi ni mikakati ya mda mrefu…wenzetu wana maono kwa hyo sidhani kama hawakujua kua huyo jamaa atakufa either kwa kuuliwa au kufa kikawaida tu….Nuclear itaendelea tu kutengenezwa….They have visions.Itachukua muda mkuu ukizingatia huyo mmoja alikuwa kiongozi anayetegemewa katika kuratibu, kudhibiti na kutekeleza mpango kazi na pia tegemeo la rais wa Iran.
Ni kweli mkuu ila kupoteza more than 20 expertise ktk jambo fulani sio kitu kidogo. Imagine tuu hapa TZ kwa mfano tupoteze ma doctor 10 at once nini kitatokeaAlways kujenga nchi ni mikakati ya mda mrefu…wenzetu wana maono kwa hyo sidhani kama hawakujua kua huyo jamaa atakufa either kwa kuuliwa au kufa kikawaida tu….Nuclear itaendelea tu kutengenezwa….They have visions.
Israel ipo middle east pia, mbona hawaishinikizi iachane na silaha za nyuklia inazomiliki.Upo mpango wa neocons wa huko marekani toka kitambo kuwa hawataki nchi za middle east Iran included ziwe na Indigeneous knowledge ya mambo ya nuclear technology. Kwa hiyo wanahakikisha wanaua hata wenye knowledge.
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanaz
Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha z
Mwana sayansi wa nyuklia ni seemu ya vita ndomana anauliwa mkuuHii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Kweli mkuu au kupoteza ma graphics design watano kwa wakati mmoja just imagineNi kweli mkuu ila kupoteza more than 20 expertise ktk jambo fulani sio kitu kidogo. Imagine tuu hapa TZ kwa mfano tupoteze ma doctor 10 at once nini kitatokea
Kama kuua hao wataalamu ndio kutamaliza elimu ya nyuklia basi hayo yatakuwa mafanikio.Kwa akili yako unazani kuua hao wataalamu itakuwa wamewamaliza na hawatatokea wengine?
Ndio wapishi jikoni, wakiuawa hapapikwiHii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Hivi Iran hajaifuta tu Israel kwanye uso wa dunia? Alisema ataifuta ndani ya saa 24hakuna nchi yenye haki ya kufuta uwepo wa taifa lingine hii kauli Iran ametamka sana pia Iran amekuwa akisaidia vikundi vyenye itikadi kali kuishambulia israel
Hapo mtaani kwenu mkimuona kichaa barabarani yupo na mapanga mtamuacha Tu kwa sabb ana haki ya kua na panga???Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Hakuna zaidi ya ubabe wa marekani na Israel. Makubaliano ya two state solution yalishafikiwa. Kwanini sasa Israel hataki Palestine iwe na taifa lake huru?huo mgogoro ni zaidi ya unavofikiria unaongea juu juu sana
Hao sio kama sisi…iran siasa zao na uhasama wao na maadui zao wanajua kila kitu….achana na sisi wapumbavu…Afu mkuu unatolea mfano wa madokta 10 kufa wakati kuna madokta zaid ya elf 10 wqko mtaani wana beti?Ni kweli mkuu ila kupoteza more than 20 expertise ktk jambo fulani sio kitu kidogo. Imagine tuu hapa TZ kwa mfano tupoteze ma doctor 10 at once nini kitatokea
The strong do what they can and the weak suffer what they must.-Melian Dialogue.Mbona yeye Israel anao mzinga unaoweza kupiga hadi Baghdad?
Iran ilishaapa kuwa lengo lake kuu ni kuiangamiza Israel. Kwanini nchi itengeneze silaha kwa lengo tu la kuiangamiza nchi moja? Kwani Israel imewakosea nini? Ndio maana Israel nao wameapa hawataruhusu Iran kuwa na bomu la Nyuklia.Hii tabia ya Israel ya kujisikia kutaka kumuua yeyote inaemtaka haipaswi kuendekezwa na Dunia iliyostaarabika.
Iran ina Haki ya kuendeleza tafiti za sayansi ya nishati ya nuclear, hata silaha za Nuklia. Hii siyo Haki ya Iran tu bali hata Tanzania inayo.
Inapotokea nchi Moja inaipangia nchi nyingine hii siyo sawa jambo hili lidhibitiwe.
Iran anayo Haki ya kutumia Nuklia hata kutengeneza silaha za nuclear, ndio mbona wao wanazo.
Hakuna jamii inayoitwa Wapalestina. Palestina ni jina lililobadilishwa kutoka Israel. Hao wanaojiita Wapalestina ni waarabu na tayari wana nchi zao nyingi tu takriban 20. Kwanini wanganganie nchi ya wenzao?Kuna shida yeyote Iran kuwasaidia wapalestina wapate Uhuru wa nchi Yao? Nadhani wewe ndio ufanye homework vizuri kujua kwanini wapalestina wananyimwa Haki Yao ya kuwa na taifa huru.