Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Wee unadhani hao wanaume wanatoa tuu matumizi bure....walisha nyweshwa chai ya maji yaliosha mbususu ya wife
Hamna bwana. Sasa kwenye ndoa unamrogaje mume akuhudumie na ni jukumu lake
 
Ndoa ni kuhudumiana its a two way traffic....tu akishaona ni one way traffic ujue unaleta majanga. Na nyie wanawake mbona mnaona ndoa kama ni mwanamke kuhudumiwa tuu
Eeeh kwa sababu sisi tutazaa kwa uchungu nyie muhudumie
 
Hamna bwana. Sasa kwenye ndoa unamrogaje mume akuhudumie na ni jukumu lake
Na wewe jukumu lako ni lipi ?!! Maana kulea siku hizi ni jukumu la "dada wa kazi" na wewe mshahara wako ni kwa ndugu na marafiki zako. Swali, majukumu yenu kina Chausiku ni yapi ?! (maana midomo mirefu sana kutaja majukumu ya wanaume, yenu ni YAPI KINA CHAUSIKU ?
 
Eeeh kwa sababu sisi tutazaa kwa uchungu nyie muhudumie
Kumbe ni kuzaa kwa uchungu "peke yake" je na manyonyo walipewa "dada wa kazi" au mnayo nyie mliozaa kwa uchungu ?!, na kama mnayo nyie ya kazi gani kama watoto wanapewa maziwa ya kopo nyie mko "kazini" ?!

Kama umekumbuka mliagizwa kuzaa kwa uchungu wanaume kula kwa jasho katika kitabu cha Mwanzo: 2 je mnakumbuka pia kua aya ioayofuata mliagizwa kua "chini ya mwanaume" na sio maujinga yenu ya 50/50 haki sawa ?! au mnakumbuka pale panapowafurahisha tu ?!

For once, acheni unafiki.
 
Utakuja kulia kwa sababu gani?

Maana hata ukijenga mwenyewe siku mkiachana atalilia mgawane na mahakamani ataenda kudai kabisa

Hawa watu ni wanyang’anyi sana kuliko tunavyowachukulia
Jenga yeye asijue
 
Ule uzi uliandaa fanya hima weka haraka maana hawa wanawake washaanza kutupanda akili
 
Hasira za nini mkuu? Mbona tunajadili kawaida tu? Hizo kuitajana mjinga sijui unafki za nini? Nakuomba kama huwezi kujadili kwa staha usiniquote
 
Hili la sisi na ubinafsi hata sio uongo. Tunapenda kupokea kuliko kutoa na tukitoa huyo mpokeaji ipo siku atajuta kwanini alipokea. Ila wapo wengine sio wachoyo akipata anashare na mwenzie hata kama sio kwa kiwango anachopokea
 
Wanaume mnateseka [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kama umeoa mwanamke mwenye kazi ili akusaidie majukumu basi imekula kwako mwanamke ameumbwa kupokea tu sio kutoa ndo maana ukitaka vita ya Ukraine na Russia mkopeshe mwanamke halafu umdai uone atakavyokupiga chenga ya mwili ndo wanawake walivyo.
Sio kweli mkuu. Nawaambiaga wanaume kuwa Wanawake wanatumia pesa zao kwa wanaume vizuri tuu hakikisheni mnapendwa vizuri kabla hamjalalamika wanawake wanapenda kupokea tuu.
Sisi hatutoi pesa ila tunatoa treatment za pesa mf. zawadi, lunch, shopping (sio Socks na vest tu).
 

Kwa kweli hili limekuwa tatizo!?Ni lazima wabadirike....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…