Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Sawa. Lakini je mimi nalipwa 900,000k yeye analipwa 1.3ml haionekani katika familia. Inaenda wapi? Kwa maisha ya sasa?
 
Sisi ni kama yameshakuwa maisha yetu ya kawaida kwa miaka nenda rudi (more than ten years huko) ikifika mwisho wa mwezi wote tunaeka hela mezani kisha tunapanga matumizi.

Maisha yanaenda vizuri kabisa na hii imesaidia tumefanya mengi pia.
You are the best.
 
Hapa nimejifunza kuwa ni lazima tuwapelekee moto wake zetu vizuri.
 
Tafuta pesa brother achana na pesa za mkeo
Ebo natafuta hela ndio sasa hela yake ndio isitumike? Akae nyumbani basi. Mbona siku nyengine nikiomba mbususu anasema nimechoka kazi leo zilikua nyingi nalala na genye zangu, so??
 
Duh! De libolo bwana likishamkolea mwanamke basi anakuwa chizi . Kweli tuwagegegede wanawake vizuri. Hela watatupa wenyewe
 
Nimekusoma mkuu.
 
Ni heri ukosee kujenga ila usiombe kukosea kuoa/kuolewa, utajuta maisha yako yote. Kwa kifupi jamaa yako alikosea kuoa na hayo ndio matunda ya makosa yake.

Kuoa kuolewa ni bahati na sio kupatia,wapo waliopatia kuoa na wakabadilika unasemaje juu ya hili
 
Duh hatari hii, sasa alikubali kuolewa ili iweje?
 
Mke na familia yako wanatakiwa kuishi kwa standard ya kipato chako.
Sasa ukitaka waishi kwa standard ya kipato cha mkeo hapo ujue tayari ushapoteza game.

Kama wanaishi kwa standard ya kipato chako maisha hayatokushinda kwa kuwa wako ndani ya mipango yako ya kibajeti.
Yeyote ambaye hatoridhika na hali basi aombe pesa kwa huyo mkeo su akatafute pa kuishi.

Mwanamke aamue mwenyewe kuleta pesa yake kwenye

Wanaume wamepungua sana siku hizi.
 
Hiv wanaume mlipoambiwa mtakula kwa jasho mlielewa nini? Na mwanaume ela yako isipohudumia familia unataka uipeleke wapi?
 
Sawa. Lakini je mimi nalipwa 900,000k yeye analipwa 1.3ml haionekani katika familia. Inaenda wapi? Kwa maisha ya sasa?
Hayo atajua yeye.
Wewe kwanini kutaka kufatilia pesa ya mkeo? Unaitaka?
Wewe ndiye ulimualika huyo mwanamke kwenye maisha yako maana yake ulimwalika muishi naye kwa kutumia unachokipata.

Kwamba ulijitathimini ukiajiridhisha kuwa unao uwezo wa kutunza mwanamke pamoja na watoto kwa kipato unachopata.

Kuanza kuzengea pato la mwanamke ati linaenda wapi ni kuanza kupoteza focus kwenye kutafuta pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…