Hahahahah kuna moja nilisikiaga kwamba wanaweka kakipande ka nyama kwenye nyuchi zao,kanalala humo,kesho yake unaandaliwa msosi kanawekwa. Eti ukikala,unampenda hadi unapitiliza vituo,af unakuwa kama mjinga mjinga hivi. Najiulizaga connection ya hayo mambo na uhalisia nashindwa kupata jibu.Anahangaikia mapenzi mkuu, anafanya hivo ili umpende, ni ushirikina tuu hauhitaji maelezo mengi.
Ni kama ile waswahili wanayosemaga "Limbwata"
Kwa issue ya Kuzaa matunda sijui kama inazaa matunda au la.
Hata huku mtaani kwetu huwa tunaona! Na zile ndoa zilizo kwenye migogoro isiyoisha huwa wanalishwa sana haya madude!Hawa ndo wahanga wakubwa sn
Tuombee Mama Mchungaji kaka zakoNdio muwe watu w ibada bila hivyo mtakwisha!
Ndo maana nawaombea sn kaka zangu ,sitaki ujinga
Yaani mwanamke uje na hizi pigo utaondoka wewe
DuhSI hamsikii mkiambiwa🤣
Mnafikiri wanaume wanao oa wanawake wa kawaida wajinga!
Halfau hakuna mwanamke Ambae Yuko tayari eti kuliwa tu,ni uongo!
.atakubali lkn atafanya Kila namna akukamate!
Haya ss,imagine huyo kaka mama Ake mzazi asingekua muombaji ingekuwaje?
SI mngeishia kuzika?
Ndo maana kwenye familia km mna ht mtu 1 anaewaombea mshukuru sana.🤣
Hata puli sio issue ni spirit/demon ziko nyuma ya hiko kitu madh ara hutayaona sshv
Cha mhimu mtegemee Mungu ,omba Mungu hutaingizwa kwenye hayo makitu
Duh! Ni hatari mno. Jamaa toka mwanzo walikubaliana na hiyo pisi kuwa mapenzi yao ni ya kukulana tu. Binafsi nilikuwa nawaonaga wakiienjoy zao, jamaa akilifaidi tako kubwa kwa raha zake, aliminyaminya mara apige vikofi mzigo unavibrate 🤣🤣 anatuoshea zigo sisi wadau zake. Jamaa alienjoy kwa raha zake. Ila jamaa aliteseka mno, ugonjwa hauonekani ila anaumwa.SI hamsikii mkiambiwa🤣
Mnafikiri wanaume wanao oa wanawake wa kawaida wajinga!
Halfau hakuna mwanamke Ambae Yuko tayari eti kuliwa tu,ni uongo!
.atakubali lkn atafanya Kila namna akukamate!
Haya ss,imagine huyo kaka mama Ake mzazi asingekua muombaji ingekuwaje?
SI mngeishia kuzika?
Ndo maana kwenye familia km mna ht mtu 1 anaewaombea mshukuru sana.🤣
Hata puli sio issue ni spirit/demon ziko nyuma ya hiko kitu madh ara hutayaona sshv
Cha mhimu mtegemee Mungu ,omba Mungu hutaingizwa kwenye hayo makitu
Ss we hongera umeliona hiliHata huku mtaani kwetu huwa tunaona! Na zile ndoa zilizo kwenye migogoro isiyoisha huwa wanalishwa sana haya madude!
Hahahahahahaha mie nilishashtuka siku nyingi maana nishakaa uswazi nayajua haya mambo ya ulozi ktk mapenziWengi tu mbona
Ila SI mnataka pisi
Endeleeni
Na ibada hamtaki.walokole mnawananga, 🤣
Achana na wanaojifanya walokole wapo na utawajua tu
Wote tuwe tunaomba hakuna namnaTuombee Mama Mchungaji kaka zako
Nimeipenda. Bravo sana.Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa na nani boma gani lichukue shida hapa mjini.
Naishi na wanawake wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.
Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.
Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae. Anachukua nyayo, sura, hata makalio anaenda kupatia mabwana na kazi, hadi sauti yako, yaani hii ni shughuli.
Mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.
Na tabia nyingi wanazifanya kama wapo huku, acheni, kaeni na riziki zenu jamani. Mnaboa eti.
Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Dah ndio maana sie wengine waoga waoga kuchepeka ..usije kupigwa kipapai ukajikuta upende sehemu sioWote tuwe tunaomba hakuna namna
Ikija kwenye ukweli nasemaga sina mbambaNimeipenda. Bravo sana.
Ndio ninachokupendea hapo.Ikija kwenye ukweli nasemaga sina mbamba
Mi mwanamke niamini!Duh! Ni hatari mno. Jamaa toka mwanzo walikubaliana na hiyo pisi kuwa mapenzi yao ni ya kukulana tu. Binafsi nilikuwa nawaonaga wakiienjoy zao, jamaa akilifaidi tako kubwa kwa raha zake, aliminyaminya mara apige vikofi mzigo unavibrate 🤣🤣 anatuoshea zigo sisi wadau zake. Jamaa alienjoy kwa raha zake. Ila jamaa aliteseka mno, ugonjwa hauonekani ila anaumwa.
NB: Hiyo kauli ya kuwa hakuna mwanamke ambaye yupo tayari kuliwa tu, mbona inatisha. Maana ni trend ya siku hizi ina majina mengi kama semi bitch, indirect Dangaring, friend of benefits, no strings attached n.k.
Kwa hiyo hayo mapenzi yote, mwanamke hata akikubali, ila moyoni anakuwa na jambo lake? Sasa mbona ni hatari mno 🤣
Haya bwanaNdio ninachokupendea hapo.
🙁🤣Sa humu unamloga nani ?Hahahahahahaha mie nilishashtuka siku nyingi maana nishakaa uswazi nayajua haya mambo ya ulozi ktk mapenzi
Wadada wengi wachawi na hata humu wapo kibao tu..na usikute jmosi hii wako kwa waganga wanaloga
Hahahahahaha yaani hata humu ni member hao vigagula tunaowasoma🙁🤣Sa humu unamloga nani ?
Unamjua?
Ila uchawi bwana ni upuuzi mtupu sema ndo vile kuomba kazi ndo maana wanaenda kwenye shortcut!
Ila mi usiingie kwenye anga zangu, yaani mwanaume anaenihusu, wazazi,kaka zangu!
Nitakufurahisha, napiga mpk uzao wako lzm tuheshimiane na ijulikane tuko Mungu mkuu🤣
Mi leo sijaendaHahahahahahaha mie nilishashtuka siku nyingi maana nishakaa uswazi nayajua haya mambo ya ulozi ktk mapenzi
Wadada wengi wachawi na hata humu wapo kibao tu..na usikute jmosi hii wako kwa waganga wanaloga
Hahahahaha.Mi leo sijaenda