Duh! Ni hatari mno. Jamaa toka mwanzo walikubaliana na hiyo pisi kuwa mapenzi yao ni ya kukulana tu. Binafsi nilikuwa nawaonaga wakiienjoy zao, jamaa akilifaidi tako kubwa kwa raha zake, aliminyaminya mara apige vikofi mzigo unavibrate 🤣🤣 anatuoshea zigo sisi wadau zake. Jamaa alienjoy kwa raha zake. Ila jamaa aliteseka mno, ugonjwa hauonekani ila anaumwa.
NB: Hiyo kauli ya kuwa hakuna mwanamke ambaye yupo tayari kuliwa tu, mbona inatisha. Maana ni trend ya siku hizi ina majina mengi kama semi bitch, indirect Dangaring, friend of benefits, no strings attached n.k.
Kwa hiyo hayo mapenzi yote, mwanamke hata akikubali, ila moyoni anakuwa na jambo lake? Sasa mbona ni hatari mno 🤣