Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Funguka tafadhari boss lady
 
🤣🤣🤣
We mdada Gani atakataa sehemu inaeleweka
Hakuna bana
Mwanzo atajifanya kukubali ila lzm apambane

Ndo umejua ss kuwa makini!
 
Kila mwanamke na makuzi yake. Huwezi kuutoa uswahili kwa mwanamke mswahili hata ukimuhamishia Masaki.
Aisee nilivyokua chuo niliona mengi yaliyonishangaza
Wale wa makuzi unayosema wengi walifundishwa mambo ya kishenzi na hao wa uswazi

Nilikuwa nashangaa wadada wadogo kwenda Kwa waganga ,najiuliza wamejifunza wapi,lini?
Wakati sie wengine ht kuvas suruali Kwa kujiachia tumeanza tukiwa chuo!

Mzazi anakupiga km hajakuzaa vile 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…