Duh! Kwa hii kauli yako Nimeogopa mno! Kama unavyoelezea, ndivyo ilivyokuwa. Yule jamaa yetu alipata kazi nzuri huko mikoani ndanindani kwenye mashirika ya kizungu, alikuwa analipwa kwa dollar za kutosha. Ila mkataba ya wazungu huwa ni mifupi miezi 6 mpaka mwaka. Baada ya hapo labda wakuongezee. Kipindi hicho kifedha alikuwa vizuri, ila kutokana na ufupi wa mikataba ya kizungu hakuwa tayari kwa familia. Nahisi ndio maana aliichukua hiyo pisi na wakakubaliana toka mwanzo ni kikulana tu, walipima magonjwa yote na binti akawekewa kijiti cha uzazi wa mpango, ili kuepuka mimba. Jamaa alikuwa anajiienjoia kwa raha zake zote lile tako kubwa pamoja na mahipsi yaliyojaa vizuri 🤣 🤣🤣 bila wasiwasi. Jamaa alinogewa akawa sponsor rasmi mpaka wadau wote tulijua.
NB: Aisee leo umeitoa siri nzito ambayo nilikuwa siijui. Maana kwenye circle yangu mdau mmoja ndio hivyo alirogwa na pisi, na mdau mwingine alikuwa na mapenzi ya aina hiyo na binti alikubali ila binti inaonekana alimgeuka (wadau tunahisi alichomoa dawa ya uzazi wa mpango)na alimtegeshea mimba na akazaa mtoto kisha akawa anamtumia mtoto kama mbinu ya kufosi ndoa. Inaonekana una hoja, na unajua siri nzito ambazo watu hatujui.
Duh! Nimeogopa! Nimeogopa mno! Maana kipindi fulani zamani huko pesa ilinitembeleaga bado kidogo sana ningeingia kwenye staili hiyo ya kukulana tu 🤣🤣. Niliahirisha baada ya jamaa yetu kuanza kuumwa sana, na chanzo kikawa kurogwa na pisi.
Ila Sasa kama binti hataki mapenzi ya kuliwa tu si akatae tu. Kila mtu achukue 50 zake mapeeemaaaaa?