Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Ngoja nikuitie Equation x mchumba huyu hapa
Sasa huyu humjui kama mie. Kweli anahela,ila uchawi wake hadi umzalie yaani ndio akupe hela sema moja nilipopangisha huku chini yeye yupo kwa juu anamke mzuri sana.

Ila kisa ni maagano ya mizimu lazima amle mdada nakumpa mimba hachelewi. Nao ndio wao na mkewe wanavuna zaidi na nimcha gga wa marangu
 
Sasa huyu humjui kama mie. Kweli anahela,ila uchawi wake hadi umzalie yaani ndio akupe hela sema moja nilipopangisha huku chini yeye yupo kwa juu anamke mzuri sana.

Ila kisa ni maagano ya mizimu lazima amle mdada nakumpa mimba hachelewi. Nao ndio wao na mkewe wanavuna zaidi na nimcha gga wa maranguu
Wewe mjukuu wangu haya maneno umeyatoa wapi?
 
Mi mwanamke niamini!
Labda ukute aliyetoka kwenye relationship yenye matatizo,km ndoa ht wao baada ya Muda wakikaa sawa thubutu!
Lzm Kuna namna sio kirahisi tu eti akubali kuliwa tena ukute mwanaume anajiweza ni uongo mtupu!
Labda uwe huna kitu manaake Kuna sehem anapaelewa sa hataki kuji attach na we atapoteza huko kwingine....

Na ndo maana migogoro kwenye ndoa nyingi haiishi,michepuko inawalisha madudu waume za watu sn tu!
Huku church kwenye maombi na kufunguliwa tunajionea mengi, tukisema tuandike hapa utabaki mdomo wazi!
Ushauri wangu mtegemee Mungu tu,omba Mungu!
Mkuu funguka basi tupate Elimu sisi waoaji wa baadae [emoji56]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mi mwanamke niamini!
Labda ukute aliyetoka kwenye relationship yenye matatizo,km ndoa ht wao baada ya Muda wakikaa sawa thubutu!
Lzm Kuna namna sio kirahisi tu eti akubali kuliwa tena ukute mwanaume anajiweza ni uongo mtupu!
Labda uwe huna kitu manaake Kuna sehem anapaelewa sa hataki kuji attach na we atapoteza huko kwingine....

Na ndo maana migogoro kwenye ndoa nyingi haiishi,michepuko inawalisha madudu waume za watu sn tu!
Huku church kwenye maombi na kufunguliwa tunajionea mengi, tukisema tuandike hapa utabaki mdomo wazi!
Ushauri wangu mtegemee Mungu tu,omba Mungu!
Duh! Kwa hii kauli yako Nimeogopa mno! Kama unavyoelezea, ndivyo ilivyokuwa. Yule jamaa yetu alipata kazi nzuri huko mikoani ndanindani kwenye mashirika ya kizungu, alikuwa analipwa kwa dollar za kutosha. Ila mkataba ya wazungu huwa ni mifupi miezi 6 mpaka mwaka. Baada ya hapo labda wakuongezee. Kipindi hicho kifedha alikuwa vizuri, ila kutokana na ufupi wa mikataba ya kizungu hakuwa tayari kwa familia. Nahisi ndio maana aliichukua hiyo pisi na wakakubaliana toka mwanzo ni kikulana tu, walipima magonjwa yote na binti akawekewa kijiti cha uzazi wa mpango, ili kuepuka mimba. Jamaa alikuwa anajiienjoia kwa raha zake zote lile tako kubwa pamoja na mahipsi yaliyojaa vizuri 🤣 🤣🤣 bila wasiwasi. Jamaa alinogewa akawa sponsor rasmi mpaka wadau wote tulijua.

NB: Aisee leo umeitoa siri nzito ambayo nilikuwa siijui. Maana kwenye circle yangu mdau mmoja ndio hivyo alirogwa na pisi, na mdau mwingine alikuwa na mapenzi ya aina hiyo na binti alikubali ila binti inaonekana alimgeuka (wadau tunahisi alichomoa dawa ya uzazi wa mpango)na alimtegeshea mimba na akazaa mtoto kisha akawa anamtumia mtoto kama mbinu ya kufosi ndoa. Inaonekana una hoja, na unajua siri nzito ambazo watu hatujui.

Duh! Nimeogopa! Nimeogopa mno! Maana kipindi fulani zamani huko pesa ilinitembeleaga bado kidogo sana ningeingia kwenye staili hiyo ya kukulana tu 🤣🤣. Niliahirisha baada ya jamaa yetu kuanza kuumwa sana, na chanzo kikawa kurogwa na pisi.

Ila Sasa kama binti hataki mapenzi ya kuliwa tu si akatae tu. Kila mtu achukue 50 zake mapeeemaaaaa?
 
Sasa huyu humjui kama mie. Kweli anahela,ila uchawi wake hadi umzalie yaani ndio akupe hela sema moja nilipopangisha huku chini yeye yupo kwa juu anamke mzuri sana.

Ila kisa ni maagano ya mizimu lazima amle mdada nakumpa mimba hachelewi. Nao ndio wao na mkewe wanavuna zaidi na nimcha gga wa marangu
Weeee hii kali nilikuwa sijui
We jichomeke tu kwani shida kuzaa au
Lamomy njoo ubuyu huu hapa
 
Hebu toka huko uswahilini bwana
huyu inaonekana akiona mambo yake hayaendi anakimbilia kwa waganga ..wanmchota hela wee na akili yake ..alwys hayuko sawa ..naamini anaenda sana kuroga na kuangalia nan anamchawia🤣🙌
 
Back
Top Bottom