Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
- Thread starter
- #121
Sasa huyu humjui kama mie. Kweli anahela,ila uchawi wake hadi umzalie yaani ndio akupe hela sema moja nilipopangisha huku chini yeye yupo kwa juu anamke mzuri sana.Ngoja nikuitie Equation x mchumba huyu hapa
Ila kisa ni maagano ya mizimu lazima amle mdada nakumpa mimba hachelewi. Nao ndio wao na mkewe wanavuna zaidi na nimcha gga wa marangu