Hivi wanawake wa dizaini hii kumbe wapo?

hapo hamna kulinganisha ni swala la kuoneana huruma na kugawana majukum huyu anafanya kaz mrad aweze kupata hela za kusongesha familia mbele tatizo n mwanaume hajiongezi kabisa
 
hapo hamna kulinganisha ni swala la kuoneana huruma na kugawana majukum huyu anafanya kaz mrad aweze kupata hela za kusongesha familia mbele tatizo n mwanaume hajiongezi kabisa
Pole kwa yaliyokukuta lakini nakushauri ukitaka ndoa yako idumu na kama kweli unampenda mwenzio usiangalie madhaifu yake wewe timiza wajibu wako kama mke halafu endelea kumuomba Mungu ili aweze kumbadilisha mke wako kwa kumpa uelewa na kuwa na moyo wa kukusaidia mke wake. Uwe unamuomba Mungu kwa hilo na sio kukimbilia kulalamika
 
Mama Mwana ungeandika kichwa cha habari kiwe: ''Hivi wanaume wa dizaini hii kumbe wapo?'' ingekuwa busara zaidi. Kichwa cha habari ulichotumia kitaleta kizaa zaa zaidi kwani ni kama kinachochea wanawake wawe wakali.
 
mimi tena?
 
Mapenzi yao waachie wao , mradi miongoni mwao hakuna kichaa au mwenye ulemavu wa akili au mkataba huenda wanafanya kwa utashi atakayechoka atasema !!

Maana mpaka wana watoto wawili wana siri yao sema sasa huku waja na sisi tunakuja na picha yetu !!
 
Kuna watu hawajuagi kujiongeza,huyo mwanaume ilipaswa apige mishe zote za home,labda angemwachia ya kufua ili mwanamke awe anafua wkend
Bado kitendo cha hela ya kula anatoa mwanamke kitasumbua akili za wote wawili
 
Mapenzi yao waachie wao , mradi miongoni mwao hakuna kichaa au mwenye ulemavu wa akili au mkataba huenda wanafanya kwa utashi atakayechoka atasema !!

Maana mpaka wana watoto wawili wana siri yao sema sasa huku waja na sisi tunakuja na picha yetu !!
ni kweli mambo ya ndoa hua hayashauriki
 
Na wewe umeona kuna kitu hakiko sawa hapa mkuu
inawezekana kuwasilisha mada kuna sehem nimewasilisha vibaya lakini kwa kufupisha mwanaume analima mboga lakini kitendo cha kulima nyasi za nyumban kwake ni swala ambalo halipo sasa mke zimkere ashike jembe alime
 
Bado kitendo cha hela ya kula anatoa mwanamke kitasumbua akili za wote wawili
mke kwake sio shida shida n hizo kazi ambazo anafanya peke yake wakat mudanwingi baba anashinda nyumban anashindwaje kumsaidia mwenzie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…