ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kwa hiyo umejikokota umeona uje na huu ushuzi?Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
We unakichaa hana shughuli yoyote wakati umesha sema analima bustani ya mboga, unadharau shughuli za watu.Mwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Asante mkuu,nilipaswa nipitieDuh pole sana
Sure,ni kusonga mbele tu.Asante mkuu,nilipaswa nipitie
Hakika mkuuSure,ni kusonga mbele tu.
Sawa to yeyeHuku mbeya nimeona wengi tu wakifanya hivyo...,even mi nilifanya hivyo ila nilipoona na kutunza familia nimeachiwa tena kwa salary hii hii ya ualimu....nilivyodai talaka na kusepa jumla hakuamini.Mtu anaponyenyekea usimwone boya mtunze
Bado isingeokoa usikute anapiga tena sana TU ila mwanamke akitaka kuondoka atakupa kashfa zote ili apate sababu haya mambo yaache kama yalivyo.Kuna watu hawajuagi kujiongeza,huyo mwanaume ilipaswa apige mishe zote za home,labda angemwachia ya kufua ili mwanamke awe anafua wkend
Dah! mbaya sana hiiMwanamke ameajiriwa taasisi binafsi, anaingia saa moja asubuhi anatoka saa kumi na dk 40 jioni, akirudi nyumbani mume anataka apikiwe, mpaka afike kwake ni saa kumi na mbili jioni akirudi apike yaani akae jikoni apike ugali, afue uniform zake, mume aje wale walale.
Mume hana shughuli yoyote anajilimia zake bustani za mboga mboga lakini hashughuliki na chochote cha nyumbani, choo anachotumia hadi aje adeki mke, chumba anacholala achilia mbali nyumba kuipitisha fagio ni mwiko, nyasi zikiota bibie ajipinde mgongo alime?
Asante mkuuSawa to yeye
Huwa hawamaanishi hiziDada zetu kila siku mnazunguka kwenye makanisa ya Mitume mkisaga magoti kuomba ndoa, Ndoa ndio hizo sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunapangwa vibaya na mtu anaetamani kuwa single mother ili aanze kudangaMume analima bustani, nyumbani nyasi zikiota ashike jembe mke kusafisha?
NakaziaHuo ni uongo labda walimu na manesi ila wengine hawawezi.
Binafsi nimewahi kushuhudia familia ambayo baba alipata Ile shida ya magufuli vyeti fake mke akawa anasimamia show ye hupita dukani kwangu na kuacha hela ambayo mme hujakuichukua (ye anachukua nauli mara nyingi ilikuwa 10000) sijui kama huko ndani walikuwa hawaelewani ila kwa kipindi chote Cha jamaa kuwa na msoto mke alisimamia show kwa utu na utulivu hatari anyway wao hawakuwa na majani ya kulimaNilikuja kuamini kuwa what matters ni mapenzi ya wawili!! Ukipenda unaweza kulamba kinyesi cha mpenzio na usione ajabu!! Kikubwa upendo!!
Hapa DSM kuna dada mumewe pia hana kazi na ni msomi tu!! Jamaa anachofanya asubuhi na mapema anamleta mkewe kazini anaondoka anaenda zake misele, na gari ikifika jioni anamfuata mkewe!! Maisha yanasonga!!
Kikubwa mkewe karidhia hivyo alivyo na hajali kikubwa wanapendana!! Jamaa wala hjiangaishi kutafuta kazi na unaambiwa hataki!!
Can I marry you please...?Huku mbeya nimeona wengi tu wakifanya hivyo...,even mi nilifanya hivyo ila nilipoona na kutunza familia nimeachiwa tena kwa salary hii hii ya ualimu....nilivyodai talaka na kusepa jumla hakuamini.Mtu anaponyenyekea usimwone boya mtunze
πππ Wanataka za kwenye video.Huwa hawamaanishi hizi
Wanataka zile za kwenye tamthiliya