Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Unahangaika kumrizisha dem ambaye mmekutana ukubwani mapenzi kayaanza tokea Primary/O-level,fanya kwa uwezo wako ukishamaliza katafute hela kwani siku hizi kwa jinsi ya dada zetu wengi wao wana lundo la maex waliotoka nae so kumrizisha ni kazi.

Dem anazijua zilizo pinda kuelekea pande zote za dunia,fupi,nene,ndefu zote anazijua then ww ndio ujifanye fundi, mwisho atakufanya ukatafute vumbi ambalo nalo husipo kuwa makini litavuruga mapigo ya moyo wako na kusababisha tatizo jingine.

Labda bikra au demu mwenye low body counts ambazo hazizidi tatu hapo sawa,ila hawa waliyo yaanzia tokea wapo primary/olevel piga kafanye mambo yako.
 
Mkuu
Wanawake baadhi ni wanapenda mahaba.

Lakini wengi wanafanya kwasababu tu ya shida.
Wanawake hawajali tena huo ufundi/mahaba.

Ndo maana ukifuatilia idea za wanawake wengi, ikitokea wamepata hela hawatamani hata kuolewa.
 
They say Money Makes The World Go Round !!! Hence it's all about money !!!
 
Ukikataliwa hujapendwa. Uwe na gari au hauna, upendo ni kitu cha tofauti sana. Ukipata mtu amekupenda kwa sababubya Toyota yako Alphard, basi jua hajakuoenda kalipenda gari lako. Akimpata mwenye Beemer jua ndio umeachwa hivyo
Oooh,
Kumbe anaependwa ni yule tu asiekua na kitu?
Sasa nna kila kitu halafu nahitaji kupendwa , nifanyeje?
 
Dogo tafuta Hela,Show kali waachie wanamuziki wakiwa kwenye stage.
 
💰💰💰
 
Uwe na kimojawapo..Ni sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…