Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

Hapana aiseee.. Labda kama hela unafuata getho..!! Yaani nikupe maneno matamu kwenye simu ukiwa kwenu, na hela nitume kwa muamala kwamba imethibitishwa Kelsea kapokea hela kiasi fulani..!! Halafu na mbususu niihangaikie..!!
🤣
 
Yaani tunatafuta hela halafu unazimwaga kitandani, kisha unampigia video call halafu unajifanya huna time na hela..!!
Mwanawane hawa wala huna shida ya video call....wao wananusa mwanaume mwenye mihela kilomita 100. Wanajigonga gonga wenyewe tuu
 
kabla ya kumpa ungesema kuwa ni pesa ya utelezi. kama uliona soo kusema hivyo ungeenda kwa wanaouza rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…