Hivi wapenzi kama hawa tuwafanyaje

Huu ushauri nimeupenda
 
Ulichosea hukutakiwa umwambie direct kiasi hicho wakati unajua unahitaji utelezi wake huyo ungeenda nae kiakili bila hata kutumia nguvu.Naomba unijibu Hili swali ili nijue nakushauri vip je hiyo 80 anayohitaji amekuomba kama mkopo au umsaidie tu? Na pia hizo hela ulizompa nazo kama umkopeshe au msaada tu wa bure?
 
Baadaye ulikula au
 
Mkuu unakosea gemu.
Hela haitolewi bila social evining.
Kuleni msosi na kumwagilia moyo, baada ya hapo kwichikwichi.
Then unampa hela yake.
 
Mkuu kazi hana biashara hana mkopo unarud vp kaniomba akasukie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…