konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,696
- 8,763
- Thread starter
-
- #61
Kama upo Tanzania wala huhitaji mtu atolee mfano maana karibia kila mtu anaongea hivyo, so assumption ni kwamba this is very common sikuona sababu ya kutolea mfano.Ungetolea mfano halisi inapotumika isivyo vs inapotumika ipasavyo.
Badala ya kuona ni general rule kwamba haya wezi kutumika kwa pamoja.
Umemweleza Mwalimu wetu vizuri kabisa, sasa sijui ni wale waalimu wa Universal Primary Education (upe) au wa voda fasterMaelezo yako kuhusu matumizi ya hiyo phrase had no reservations. Ulisema kwa ujumla wake kuwa ni makosa kutumia maneno unless otherwise kwa pamoja. Swala la muktadha wa matumizi hukuuweka, kwa kweli nilishangaa sana. Yawezekana nikawa siijui sana hii lugha ya Malkia, lakini hiki Kiingereza cha unless otherwise ni just Kiingereza cha is and was
NB: You should have qualified your thread kwa kueleza kuwa watu wengi wanatumia phrase hiyo in a wrong context, na siyo kueleza kuwa hayo maneno hayawezi kutumika kwa pamoja
Anaanza kukwepa msala.Maelezo yako kuhusu matumizi ya hiyo phrase had no reservations. Ulisema kwa ujumla wake kuwa ni makosa kutumia maneno unless otherwise kwa pamoja. Swala la muktadha wa matumizi hukuuweka, kwa kweli nilishangaa sana. Yawezekana nikawa siijui sana hii lugha ya Malkia, lakini hiki Kiingereza cha unless otherwise ni just Kiingereza cha is and was
NB: You should have qualified your thread kwa kueleza kuwa watu wengi wanatumia phrase hiyo in a wrong context, na siyo kueleza kuwa hayo maneno hayawezi kutumika kwa pamoja
Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
Kumaanisha kwamba hujawai iskia eehInabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja
Still bado nini mkuu?
Mkuu kama hujui kiingereza soma tu comments unaweza kupata chochote.Kumaanisha kwamba hujawai iskia eeh
"Unless" inatumika badala ya "If not" lakini wengi wanatumia neno "Unless" visivyo. Shida kubwa tuliyonayo ni ulimbukeni wa Lugha. Binafsi nakerwa sana na tabia ya kuchanganya Lugha wakati mtu anaongea.Hivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.
"Unless" ni badala ya neno "If not" shida kubwa tuliyonayo wabongo ni ya walimu wa hovyo wa Lugha. Kingine watu hatupendi kuendelea kujifunza Lugha mara tunapotoka shuleni(tunapomaliza).Kwa tafsiri isiyo rasmi "Unless maana yake isipokuwa/la sivyo. Otherwise maana yake isipokuwa/la sivyo". Hivyo chagua neno mojawapo tu uteleze, utaelewaka zaidi badala ya kulazimisha kuyatumia yote kwa wakati mmoja.
Yaani ukiona code mixing na code switching zinakukera basi ujue wewe ndiye mwenye tatizo na siyo huyo anayechanganya lugha. Haya ni mambo ya kawaida sana kwenye matumizi ya lugha hasa kwa mtu mwenye umahiri wa lugha zaidi ya moja. Code mixing na code switching ni maumbile tu katika lugha. Sasa wewe unakereka na nini kwenye maumbile hayo!?"Unless" inatumika badala ya "If not" lakini wengi wanatumia neno "Unless" visivyo. Shida kubwa tuliyonayo ni ulimbukeni wa Lugha. Binafsi nakerwa sana na tabia ya kuchanganya Lugha wakati mtu anaongea.
Tupo pamoja mkuu. Binafsi nina shida sana na hawa wa unless otherwise. Huwa inanibore sana, halafu karibia kila mtu sasa mpaka huwa najiuliza hili tatizo sio bure lilitokea kwa bahati mbaya bali walimu huko shuleni na vyuoni wanafundisha hivyo maana haiwezekani kila mtu aseme unless otherwise kila sehemu anapotakiwa kutumia mojawapo ya haya maneno."Unless" inatumika badala ya "If not" lakini wengi wanatumia neno "Unless" visivyo. Shida kubwa tuliyonayo ni ulimbukeni wa Lugha. Binafsi nakerwa sana na tabia ya kuchanganya Lugha wakati mtu anaongea.
Unless otherwise hujui maana ya still bado.Still bado
Siyo kweli. Salim Ahmed Salim alikuwa na umahiri na ufahamu wa ufasaha katika lugha zaidi ya 5 za kimataifa lkn hajawahi sikika akichanganya Lugha anapozungumza.Yaani ukiona code mixing na code switching zinakukera basi ujue wewe ndiye mwenye tatizo na siyo huyo anayechanganya lugha. Haya ni mambo ya kawaida sana kwenye matumizi ya lugha hasa kwa mtu mwenye umahiri wa lugha zaidi ya moja. Code mixing na code switching ni maumbile tu kati lugha. Sasa wewe unakereka na nini kwenye maumbile hayo!?
Wengi walikiwa wanawasikia walimu wao wakitumia hayo maneno hivyo wanadhani ni sahihi kuyatumia!Tupo pamoja mkuu. Binafsi nina shida sana na hawa wa unless otherwise. Huwa inanibore sana, halafu karibia kila mtu sasa mpaka huwa najiuliza hili tatizo sio bure lilitokea kwa bahati mbaya bali walimu huko shuleni na vyuoni wanafundisha hivyo maana haiwezekani kila mtu aseme unless otherwise kila sehemu anapotakiwa kutumia mojawapo ya haya maneno.
Uko sahihi mkuu. Haiwezekani tu ikatokea kama ajali kila mtu akawa anazungumza hivyo. This is like nation crisis.Wengi walikiwa wanawasikia walimu wao wakitumia hayo maneno hivyo wanadhani ni sahihi kuyatumia!
Vilugha vya ki-English vipo kwa level, tofauti tofauti Duniani kote vya aina saba vinavyo tambulika kimataifa na vyote vina sub branches... MfanoInabore kuona mtu anaongea maneno mawili yenye maana sawa. Sijawahi kusikia wenye kiingereza chao wanaongea hivi. Hata sisi waongea kiswahili huwezi kuongea maneno mawili ya kiswahili yenye maana sawa kwa wakati mmoja