The phrase "unless otherwise" is usually used in giving instructions to make them more clear. You may smoke unless otherwise instructed. Unless otherwise instructed, please remain seated. Unless you are told otherwise, you may take photographs.19 NovHivi watanzania ni mwalimu gani aliyewafundisha kingereza cha kutumia haya maneno kwa wakati mmoja? "Unless otherwise". Watanzania wengi sana wanapoongea huwa wanayatumia haya maneno kwa wakati mmoja. Huwa najiuliza inakuwaje watanzania wengi kiasi hiki wanatumia haya maneno kwa wakati mmoja? Ina maana huko shuleni ndivyo walivyofundishwa hivi? Haya maneno yana maana sawa, kwa kiingereza yanaitwa "synonyms", unatakiwa kutumia neno mojawapo tu na sio yote kwa wakati mmoja.